mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Raila Odinga alijiapiza kuwa lazima awe rais wa kenya kabla hajafa!! Leo anagombea kwa mara ya tano akiwa na miaka 77. Na jamaa huyu hujaribu bahati yake kupitia vyama mbali mbali, na mwaka huu anagombea kupitia umoja wa vyama uitwao AZIMIA LA UMOJA.
Swali, je akiangukia pua mwaka huu ataweza kugombea tena huo mwaka 2027 atakapokuwa na miaka 82 au ndo itabidi akubali matokeo ya kufa bila kutimiza ndoto na apio lake?
Kumbe Mzee bado ni mdogo sana, ana miaka 68 tu ukilinganisha na 77 ya Raila Odinga. Tumtie moyo Lowasa kugombea tena 2025, na 2030. Huo mwaka 2030 Lowasa atakuwa na miaka 76 tu na atakuwa anagombea kwa mara ya tatu tu!
=====