Kenya 2022 Raila Odinga: King'ang'anizi katika kuutaka urais wa Kenya, uchaguzi huu anagombea kwa mara ya tano (5)

Kenya 2022 General Election
Kama hiyo ni kweli Kwenye hiyo age flow INAFIKIRISHA SANA

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Sio wapiga kura ndio uamua nani awe Raisi.Ingekuwa hivyo upinzani wangekuwa wanashinda KILA siku.
Lakini tumeshuhudia uchaguzi wa kenya ukiwa ni huru sana na wa haki kwa kiwango kikubwa sana! Kwa mazingira haya ya uchaguzi wa kenya kwa mwaka huu wapiga kura ndio watakaoamua!

Kwa mfano siyo siri inafahamika kuwa Uhuru Kenyatta hamtaki kabisa makamu wake wa Rais William Ruto ashinde uchaguzi huu, lakini inavyoelekea hadi sasa Ruto ndiye atashinda uchaguzi huu kinyume kabisa na mapenzi ya Uhuru Kenyatta.
 
Ni vizuri kama Raila ataonesha uungwana wa kukubali matokeo ili kutunza heshima yake!! Kenyatta alimwandalia mazingira ya ushindi, akamuunga mkono lakini akashindwa mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…