Raila odinga,rais wa wakenya anayehujumiwa.


Hii taarabu ingeimbika vizuri baada ya hukumu ya supreme court na si sasa.
Kuna maeneo unajikorogakoroga na yote hii inaonyesha si mjuzi wa haya mambo.
Kaa vizuri ufunzwe hapa;
Mosi,unasema alijijengea ofisi ya million 800,ile ofisi ni yake au ni ya waziri mkuu wa kenya? Hivi kama ofisi ya waziri tuchukulie inapaswa kuwa na majengo yote yale yaliyopo kwenye ofisi ya waziri mkuu wa tz,yale majengo yanagharimu kiasi gani kwa sasa? Na je kama ametumia pesa kiasi hicho kujenga hiyo je! hiyo ofisi haifanani na hicho kiwango cha hizo pesa zilizotumika? Na kama ni ndiyo,ni kiasi gani kilipaswa kutumika? Na mbona wakenya hawajalilalamikia hili? Au hizo wizara na ofisi zilizochini yake ulitaka waje wapange kwenu? Hizo taarabu zako peleka kwenu,pesa iliyotumika na kuridhiwa na bunge la kenya na hakuna malalamiko popote juu ya viwango na ubora wa majengo yaliyopo pale.Zaidi zaidi muhuni mwenzio Ruto ndo kaiteka hiyo ofisi kinyume na utaratibu ili iwe ofisi yake.
Pili,unasema kuna wakati akiwa ziarani marekani kuna wakati alilala kwenye hotel inayofikia ksh.500,000/=,kwanza lete ushahidi,mbili,sioni alikosea wapi vilevile,kuna hotel ya chini ya hapo alipangiwa akaitolea nje? Alivunja sheria ya nchi? Pia kwenye hili hatujawasikia wakenya wakilalamika.

Tuchukulie tuhuma zako zote ni sahihi; je Odinga hana haki ya kupinga matokeo kwa mujibu wa katiba yao?
 
Naunga mkono haki ya Odinga kwenda mahakamani.Ni haki yake kikatiba.Cha msingi aache porojo za jukwaani,he should go straight to the court.Uchaguzi huu ulikuwa na challenges nyingi ambazo CORD wanaziita conspiracies.Odinga ameropoka mengi sana lakini mwishowe am sure hawezi ku-prove kuwa uchaguzi ulipangwa.Mwisho wa siku atabaki kufaulu katika kuonesha dosari za hapa na pale bila ku-prove any systematic rigging or media ilipanga kumpa black-out.
 
Maneno hayana MFUPA TOXICSASA HAYA UNAONGEA UNAOTA au? Raisi wa Kenya ipi? Hujasikia matokeo ya uchaguzi au kiburi tu? Wakenya wameshaongea kuwa UHURU ndio raisi wao bana.

wacha zakogkato ..kuonge ndio kusema nini? hata mwizi akipigwa uongea!
 



Numbers , nimbers numbers....well said..statistically hakuna ubishi ...but remember our cousin Rwanda...mwenda tezi na omo marejeo ngamani ..itmay take 100 years but .....look at the arab spring, former zchekoslovakia ...tuko kwa mteremko na kunao wale wanaongeza speed ...hole wao!

 
 



Wacha za ovyo nanii.....goldenberg, i would rather die than resign, police instruments saga, the biggest landlord after NSSF?, IDP , arturs, ...the list is endless and now the BVR kits..shenzi! unabishana.....if not for kirinyaga constructors and thier ilk ..Kenya tungekuwa mbali!.....this is bigotted hegemony..na kama unafuata siasa za ulimwengu ..rwanda , the arabsprings, bosnia, zchekoslovakia kulianza hivi....endeleeni ..Umesema God didnt want this...kwani Mungu ni wenu peke yenu? ,...mungu si adhumani!
 
How does the Rwanda's case relate to Kenya? Akichukua Raila ndio mambo yatanyooka?
 

Hata Maalim Sefu ni hivyo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…