Raila odinga,rais wa wakenya anayehujumiwa.

Raila odinga,rais wa wakenya anayehujumiwa.

Ati rais wa Kenya,,,hiyo ni Kenya ipi??????

Yeye ni waziri mkuu anaye ondoka baada ya kuhudumu kwa
miaka 5 na hakua na chochote cha kuonesha wa Kenya vile
alivyo fanya hiyo miaka mitano.

Lakini,,,alijijengea ofisi ya shs 800,000,000(800 Million) na
kutumia wakati wake mwingi kwa kuzuru nchi za ng'ambo
na kutumia mapato ambayo yalikua yametokana na wanainchi,,
kiholela.

Alipokua akizuru kote duniani,,aliishi katika ma hoteli
ghali sana,,mfano,,wakati mmoja huko umarekani,,
alikua akilala katika hoteli ambayo ilikua ikimgharimu
mkenya Kshs 500,000 kwa siku.

Haya ndio maendeleo wakenya wangelipata kutokana
na huyu bwana.

Tena,,wengi walishindwa kujua wapi ma millioni ya
pesa kwa vijana ilipoenda.

Kashfa ya mahindi?????????

Kumalizia yote,,,,alitaka kusimamisha ndugu zake
wachaguliwe lakini watu wa Nyanza wakamkatalia.

Cord ndicho chama ambacho wengi wao waliwahi
kutaka kupitisha familia zao njia za mkato hadi
katika siasa na kuchuna mali ya umma.

Raila Odinga,,,ndugu wake wawili,,Henry Kosgey,,
mtoto wake aliye chaguliwa mbunge,,Sally Kosgey,
Kijana wake,,Rev Wanjiru,,kijana wake,,, Kajwang',,
ndugu yake Teejay aliye chaguliwa.

Iko list ndefu sana yakuonyesha,,,what kind of
reformist these guys are.

Bahati mzuri,,,,,mungu akaipenda Kenya na
angekubali hii inchi iwe mikononi mwa hawa
watu wa aina hii,,,,watu hata hawana
haibu hata ndogo.

Nikimalizia,,,,wengi hawana habari,,,kwamba,,,
pamoja na marupu rupu mengi aliyo kua nayo,,
ati ukweli ni kwamba bwana Raila Agwambo
alikua na mshahara mkubwa hata kuliko
rais Kibaki,,,amini usiamini.

Huyu ndiye ati,,,,kichekesho,,,,angewapeleka
wakenya,,ati,,,Canaan,,,,,,,,,?????????????

Hii taarabu ingeimbika vizuri baada ya hukumu ya supreme court na si sasa.
Kuna maeneo unajikorogakoroga na yote hii inaonyesha si mjuzi wa haya mambo.
Kaa vizuri ufunzwe hapa;
Mosi,unasema alijijengea ofisi ya million 800,ile ofisi ni yake au ni ya waziri mkuu wa kenya? Hivi kama ofisi ya waziri tuchukulie inapaswa kuwa na majengo yote yale yaliyopo kwenye ofisi ya waziri mkuu wa tz,yale majengo yanagharimu kiasi gani kwa sasa? Na je kama ametumia pesa kiasi hicho kujenga hiyo je! hiyo ofisi haifanani na hicho kiwango cha hizo pesa zilizotumika? Na kama ni ndiyo,ni kiasi gani kilipaswa kutumika? Na mbona wakenya hawajalilalamikia hili? Au hizo wizara na ofisi zilizochini yake ulitaka waje wapange kwenu? Hizo taarabu zako peleka kwenu,pesa iliyotumika na kuridhiwa na bunge la kenya na hakuna malalamiko popote juu ya viwango na ubora wa majengo yaliyopo pale.Zaidi zaidi muhuni mwenzio Ruto ndo kaiteka hiyo ofisi kinyume na utaratibu ili iwe ofisi yake.
Pili,unasema kuna wakati akiwa ziarani marekani kuna wakati alilala kwenye hotel inayofikia ksh.500,000/=,kwanza lete ushahidi,mbili,sioni alikosea wapi vilevile,kuna hotel ya chini ya hapo alipangiwa akaitolea nje? Alivunja sheria ya nchi? Pia kwenye hili hatujawasikia wakenya wakilalamika.

Tuchukulie tuhuma zako zote ni sahihi; je Odinga hana haki ya kupinga matokeo kwa mujibu wa katiba yao?
 
Mkuu Lonestriker,hakuna mtu anabishana na namba hapa,tunachobishia ni mchakato wa upatikanaji wa hizo namba,hizo namba zinabakibaki hivyo hivyo na ndizo zitakazohukumu ukweli wa Raila au uongo wake.Africa hatutatakiwi kufumbia macho michakato mibovu na mifumo miovu ya upatikanaji wa viongozi wetu,lazima kila uovu uwao wote kwenye chaguzi zetu uwe adressed na hatua madhubuti zichukuliwe ili kuondoa uhuni ambao unatuuza nje kwamba bado hatujastaarabika,yote hii kwa sababu tu ya watu wachache ambao wapo tayari kutia kemikali kwenye mahesabu ya kura ili washinde nafasi za uongozi katika nchi zetu.Hapana,inatosha,lazima tuamke.Hizo asilimia tukaziongelee mahakamani.
Naunga mkono haki ya Odinga kwenda mahakamani.Ni haki yake kikatiba.Cha msingi aache porojo za jukwaani,he should go straight to the court.Uchaguzi huu ulikuwa na challenges nyingi ambazo CORD wanaziita conspiracies.Odinga ameropoka mengi sana lakini mwishowe am sure hawezi ku-prove kuwa uchaguzi ulipangwa.Mwisho wa siku atabaki kufaulu katika kuonesha dosari za hapa na pale bila ku-prove any systematic rigging or media ilipanga kumpa black-out.
 
Maneno hayana MFUPA TOXICSASA HAYA UNAONGEA UNAOTA au? Raisi wa Kenya ipi? Hujasikia matokeo ya uchaguzi au kiburi tu? Wakenya wameshaongea kuwa UHURU ndio raisi wao bana.

wacha zakogkato ..kuonge ndio kusema nini? hata mwizi akipigwa uongea!
 
Punguza hisia,nani amekwambia mimi ni Mkenya?Am talking about numbers sio any other porojo...bishana na namba but you wont change them,For you information UHURUTO hawakupigiwa kura na makabila mawili tu,again natumia hesabu,Wakikuyu na Kalenjin ni kama 34% ya wakenya,madai yako kuwa alipigiwa kura na makabila 2 kimahesabu hayakubaliki...endeleza porojo ila ukitaka ukweli cheki hesabu...mathematically it was not about distribution of votes,it was about 50% 1 vote...I repeat again,50% 1 vote.

Numbers , nimbers numbers....well said..statistically hakuna ubishi ...but remember our cousin Rwanda...mwenda tezi na omo marejeo ngamani ..itmay take 100 years but .....look at the arab spring, former zchekoslovakia ...tuko kwa mteremko na kunao wale wanaongeza speed ...hole wao!

  • A%20S%2039.gif
 
Swali ni hili,,,,,Yaani Raila Odinga haelewi haya usemayo,,,ati ni lazima uwe kibaraka cha
wakikuyu ndivyo uwe Rais wa Kenya?????

sivyo hivyo!

Pili,,anaposema alishinda,,,kwani alitumia mbinu gani kushinda na bado yeye
si kibaraka cha wa Kikuyu?????

sio mbinu IEBC was infiltrated....here has been intimidations !

Tatu,,,,Rais Moi alikua kibaraka cha wakikuyu?????????kwani aliwahi
kutawala Kenya kwa miaka 24???????????[
/QUOTE]

soma history ya kenya vizuri..as mzee kenyatta was about to die 80% of the baraza la mawaziri was kkikuyu...walichnage katiba Moi hawe Rais..alipoapishwa akawakalia udictator ukaanza!
 
Ati rais wa Kenya,,,hiyo ni Kenya ipi??????

Yeye ni waziri mkuu anaye ondoka baada ya kuhudumu kwa
miaka 5 na hakua na chochote cha kuonesha wa Kenya vile
alivyo fanya hiyo miaka mitano.

Lakini,,,alijijengea ofisi ya shs 800,000,000(800 Million) na
kutumia wakati wake mwingi kwa kuzuru nchi za ng'ambo
na kutumia mapato ambayo yalikua yametokana na wanainchi,,
kiholela.

Alipokua akizuru kote duniani,,aliishi katika ma hoteli
ghali sana,,mfano,,wakati mmoja huko umarekani,,
alikua akilala katika hoteli ambayo ilikua ikimgharimu
mkenya Kshs 500,000 kwa siku.

Haya ndio maendeleo wakenya wangelipata kutokana
na huyu bwana.

Tena,,wengi walishindwa kujua wapi ma millioni ya
pesa kwa vijana ilipoenda.

Kashfa ya mahindi?????????

Kumalizia yote,,,,alitaka kusimamisha ndugu zake
wachaguliwe lakini watu wa Nyanza wakamkatalia.

Cord ndicho chama ambacho wengi wao waliwahi
kutaka kupitisha familia zao njia za mkato hadi
katika siasa na kuchuna mali ya umma.

Raila Odinga,,,ndugu wake wawili,,Henry Kosgey,,
mtoto wake aliye chaguliwa mbunge,,Sally Kosgey,
Kijana wake,,Rev Wanjiru,,kijana wake,,, Kajwang',,
ndugu yake Teejay aliye chaguliwa.

Iko list ndefu sana yakuonyesha,,,what kind of
reformist these guys are.

Bahati mzuri,,,,,mungu akaipenda Kenya na
angekubali hii inchi iwe mikononi mwa hawa
watu wa aina hii,,,,watu hata hawana
haibu hata ndogo.

Nikimalizia,,,,wengi hawana habari,,,kwamba,,,
pamoja na marupu rupu mengi aliyo kua nayo,,
ati ukweli ni kwamba bwana Raila Agwambo
alikua na mshahara mkubwa hata kuliko
rais Kibaki,,,amini usiamini.

Huyu ndiye ati,,,,kichekesho,,,,angewapeleka
wakenya,,ati,,,Canaan,,,,,,,,,?????????????

Wacha za ovyo nanii.....goldenberg, i would rather die than resign, police instruments saga, the biggest landlord after NSSF?, IDP , arturs, ...the list is endless and now the BVR kits..shenzi! unabishana.....if not for kirinyaga constructors and thier ilk ..Kenya tungekuwa mbali!.....this is bigotted hegemony..na kama unafuata siasa za ulimwengu ..rwanda , the arabsprings, bosnia, zchekoslovakia kulianza hivi....endeleeni ..Umesema God didnt want this...kwani Mungu ni wenu peke yenu? ,...mungu si adhumani!
 
Numbers , nimbers numbers....well said..statistically hakuna ubishi ...but remember our cousin Rwanda...mwenda tezi na omo marejeo ngamani ..itmay take 100 years but .....look at the arab spring, former zchekoslovakia ...tuko kwa mteremko na kunao wale wanaongeza speed ...hole wao!

  • A%20S%2039.gif
How does the Rwanda's case relate to Kenya? Akichukua Raila ndio mambo yatanyooka?
 
Raila Odinga,ndiye rais wa wakenya ambaye kwa bahati mbaya kutokana na tabia yake ya kutomuogopa yeyote na kutomuonea aibu yeyote imekuwa ni tishio sana kwa mafisadi wa kenya,hivyo basi huundiwa mizengwe mizito sana nyakati za chaguzi ili asishike madaraka makubwa kenya kama wanavyomtaka wananchi wengi wanyonge,asije leta kilio na kusaga kwa mafisadi waliopo kwenye serikali na waliokuwepo zamani,kwa sababu anaweza kukutia kwenye kibano muda wowote ikiwa tu anao ushahidi wa kutosha wa ufisadi wako,na kwa hili hana rafiki,kama unataka mwende sawa basi weka mambo kwenye mstari.Kwa maslahi ya nchi na wananchi wa kenya yupo tayari kukosana hata marafiki zake wa karibu(kama ilivyotokea kwa william ruto na musalia mudavadi) kama itaonekana wanajihusisha kwa namna moja ama nyingine na vitendo vya kifisadi.Raila anafahamika kama mtu ambaye huongea kwa vitendo zaidi kuliko maneno,kwa namna nyingine maneno yake hufuata matendo yake.Huyu ndiye Raila Odinga kama anavyofahamika kwa wakenya wengi kwa kifupi.

Hata Maalim Sefu ni hivyo hivyo!
 
Back
Top Bottom