hebronipyana
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 265
- 78
Ati rais wa Kenya,,,hiyo ni Kenya ipi??????
Yeye ni waziri mkuu anaye ondoka baada ya kuhudumu kwa
miaka 5 na hakua na chochote cha kuonesha wa Kenya vile
alivyo fanya hiyo miaka mitano.
Lakini,,,alijijengea ofisi ya shs 800,000,000(800 Million) na
kutumia wakati wake mwingi kwa kuzuru nchi za ng'ambo
na kutumia mapato ambayo yalikua yametokana na wanainchi,,
kiholela.
Alipokua akizuru kote duniani,,aliishi katika ma hoteli
ghali sana,,mfano,,wakati mmoja huko umarekani,,
alikua akilala katika hoteli ambayo ilikua ikimgharimu
mkenya Kshs 500,000 kwa siku.
Haya ndio maendeleo wakenya wangelipata kutokana
na huyu bwana.
Tena,,wengi walishindwa kujua wapi ma millioni ya
pesa kwa vijana ilipoenda.
Kashfa ya mahindi?????????
Kumalizia yote,,,,alitaka kusimamisha ndugu zake
wachaguliwe lakini watu wa Nyanza wakamkatalia.
Cord ndicho chama ambacho wengi wao waliwahi
kutaka kupitisha familia zao njia za mkato hadi
katika siasa na kuchuna mali ya umma.
Raila Odinga,,,ndugu wake wawili,,Henry Kosgey,,
mtoto wake aliye chaguliwa mbunge,,Sally Kosgey,
Kijana wake,,Rev Wanjiru,,kijana wake,,, Kajwang',,
ndugu yake Teejay aliye chaguliwa.
Iko list ndefu sana yakuonyesha,,,what kind of
reformist these guys are.
Bahati mzuri,,,,,mungu akaipenda Kenya na
angekubali hii inchi iwe mikononi mwa hawa
watu wa aina hii,,,,watu hata hawana
haibu hata ndogo.
Nikimalizia,,,,wengi hawana habari,,,kwamba,,,
pamoja na marupu rupu mengi aliyo kua nayo,,
ati ukweli ni kwamba bwana Raila Agwambo
alikua na mshahara mkubwa hata kuliko
rais Kibaki,,,amini usiamini.
Huyu ndiye ati,,,,kichekesho,,,,angewapeleka
wakenya,,ati,,,Canaan,,,,,,,,,?????????????
Hii taarabu ingeimbika vizuri baada ya hukumu ya supreme court na si sasa.
Kuna maeneo unajikorogakoroga na yote hii inaonyesha si mjuzi wa haya mambo.
Kaa vizuri ufunzwe hapa;
Mosi,unasema alijijengea ofisi ya million 800,ile ofisi ni yake au ni ya waziri mkuu wa kenya? Hivi kama ofisi ya waziri tuchukulie inapaswa kuwa na majengo yote yale yaliyopo kwenye ofisi ya waziri mkuu wa tz,yale majengo yanagharimu kiasi gani kwa sasa? Na je kama ametumia pesa kiasi hicho kujenga hiyo je! hiyo ofisi haifanani na hicho kiwango cha hizo pesa zilizotumika? Na kama ni ndiyo,ni kiasi gani kilipaswa kutumika? Na mbona wakenya hawajalilalamikia hili? Au hizo wizara na ofisi zilizochini yake ulitaka waje wapange kwenu? Hizo taarabu zako peleka kwenu,pesa iliyotumika na kuridhiwa na bunge la kenya na hakuna malalamiko popote juu ya viwango na ubora wa majengo yaliyopo pale.Zaidi zaidi muhuni mwenzio Ruto ndo kaiteka hiyo ofisi kinyume na utaratibu ili iwe ofisi yake.
Pili,unasema kuna wakati akiwa ziarani marekani kuna wakati alilala kwenye hotel inayofikia ksh.500,000/=,kwanza lete ushahidi,mbili,sioni alikosea wapi vilevile,kuna hotel ya chini ya hapo alipangiwa akaitolea nje? Alivunja sheria ya nchi? Pia kwenye hili hatujawasikia wakenya wakilalamika.
Tuchukulie tuhuma zako zote ni sahihi; je Odinga hana haki ya kupinga matokeo kwa mujibu wa katiba yao?