RAILA ODINGA: Tarehe 12, Disemba nitapishwa na kuingia Ikulu

RAILA ODINGA: Tarehe 12, Disemba nitapishwa na kuingia Ikulu

Shoga ake na Baba Ubaya..



Aje huku shosti wake ampe ubalozi au ukuu wa mkoa
 
Ukiona mwanasiasa mkongwe anafanya hivi ujue kaisha
 
Baba yake aliulilia urais hata sekunde moja hadi kufa kwake Si jomo Kenyatta hata moi arap hakumpa sasa nadhani yeye anataka kuondoka Na roho za wakenya
 
Ukijua tabia, hulka na roho mbaya za wakenya hutowaonea huruma hata kidogo
 
Anamaanisha nini kusema hivyo kua atampindua ama vipi...
Kauli kama hizi sio za kufumbiwa macho atoe maelezo vizuri.
 
Wakenya msikubali huu upuuzi. Hizo ni dalili tosha kua Laila Odinga nae ni mchumia tumbo. Alipaswa kuwa ICC at ths moment kwa mauaji yaliyotikea.
 
View attachment 639787

Kiongozi wa Muungano wa Upinzani Nchini Kenya(NASA), Raila Amolo Oginga Odinga amesema kuwa ataapishwa kuwa rais wa taifa hilo mnamo tarehe 12 mwezi Disemba na kuingia Ikulu rasmi.

Kauli hii ya Raila Odinga imekuja saa chache baada ya Rais Mteule wa Taifa hilo, Uhuru Kenyatta kuapishwa katika Uwanja wa Kasarani.

Asema kuwa Uhuru Kenyatta si rais wa Kenya hivyo yeye hatoapishwa kama kiongozi wa Upinzania Nchini Uganda, Kizza Besigye bali ataapishwa kama Emmerson Mnangagwa alivyoapishwa nchini Zimbabwe.

======
Opposition chief Raila Odinga has announced that he will be sworn-in as President and get into State House on December 12.

The NASA leader withdrew an earlier statement against this shortly after Uhuru Kenyatta and William Ruto's swearing-in at Kasarani stadium on Tuesday.

"Uhuru Kenyatta is not the President of Kenya. We will not be sworn-in like [Ugandan Opposition leader Kizza] Besigye. We will be sworn-in like it was done with Mnangagwa in Zimbabwe," he said

"They have sworn-in Uhuru as President. We will also have a swearing-in]."

Chaos then broke as police moved in to disperse the supporters. They fired many gunshots and teargassed Raila's convoy.

- The Star
 

Attachments

Hakuna kitu serikali ya Uhuruto imefanyia wakenya zaidi ya kuua na kuiba pesa za wananchi.

Sgr ya pekee yenye amejenga ambayo angechukua nayo credit aliongezea pesa maradufu na kutuletea madude ya WW2 ya 1945... more than Ksh100bn inflated

Usiwe unashangilia jina la Uhuru and you don't pay Kenyan tax.

Tunataka mabadiliko.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom