Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
huyuu Mzee nae ni hatariii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh!ndiyo maana kuna mtu hakwenda anasubiri mwezi ujao?
Tabia ka rafiki yakeRaila hawezi toka urais. Yeye ndiye dikteta mkubwa Kenya. Na alianza udikteta ndani ya chama chake mwenyewe.
View attachment 639787
Kiongozi wa Muungano wa Upinzani Nchini Kenya(NASA), Raila Amolo Oginga Odinga amesema kuwa ataapishwa kuwa rais wa taifa hilo mnamo tarehe 12 mwezi Disemba na kuingia Ikulu rasmi.
Kauli hii ya Raila Odinga imekuja saa chache baada ya Rais Mteule wa Taifa hilo, Uhuru Kenyatta kuapishwa katika Uwanja wa Kasarani.
Asema kuwa Uhuru Kenyatta si rais wa Kenya hivyo yeye hatoapishwa kama kiongozi wa Upinzania Nchini Uganda, Kizza Besigye bali ataapishwa kama Emmerson Mnangagwa alivyoapishwa nchini Zimbabwe.
======
Opposition chief Raila Odinga has announced that he will be sworn-in as President and get into State House on December 12.
The NASA leader withdrew an earlier statement against this shortly after Uhuru Kenyatta and William Ruto's swearing-in at Kasarani stadium on Tuesday.
"Uhuru Kenyatta is not the President of Kenya. We will not be sworn-in like [Ugandan Opposition leader Kizza] Besigye. We will be sworn-in like it was done with Mnangagwa in Zimbabwe," he said
"They have sworn-in Uhuru as President. We will also have a swearing-in]."
Chaos then broke as police moved in to disperse the supporters. They fired many gunshots and teargassed Raila's convoy.
- The Star