Wewe ni kijiko cha habari??picha kesho zitasambaa kwenye vyombo vya habari
Chattle City.Angeenda Dubai mpya ya kanda ya ziwa!
Uyu Mzee mpuuzi sana,kisha akirudi kule waitishe mapokez wafe tena watu.kuna namna ya kuipigania haki anayodai ,cyo kuifanya Kenya kila cku siasa anawatumia wezi wa kibera kuleta fujo,yanafanyika maandamano jamaa wanaiba Mali na kuvunja maduka.