Raila Odinga yupo Zanzibar kwa mapumziko ya siku kadhaa

Raila Odinga yupo Zanzibar kwa mapumziko ya siku kadhaa

Mavipunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
7,072
Reaction score
7,891
Mgombea wa Urais wa Kenya aliyejitoa katika uchaguzi wa marudio Raila Odinga ameonekana katika viunga vya mji wa Unguja (Stone Town) .Wapasha habari wanadai yupo katika mapumziko. Ikumbukwe kwamba majuzi alisababisha vifo vya watu watano wakati wa mapokezi yake jijini Nairobi akitokea America
 
Nafikili ungeweka kapicha ingependeza zaidi
 
picha kesho zitasambaa kwenye vyombo vya habari
 
Huo ni uongo kabisa.
kama alionekana uwanja wa ndege wa kimataifa wa Zanzibar bila ya shaka yupo Zanzibar na amefikia Hotel ya nyota tano ya Hayyat iliyopo stone town.. Afu usipende kubisha vitu usivyovijua utakuja kuumbuka
 
Uyu Mzee mpuuzi sana,kisha akirudi kule waitishe mapokez wafe tena watu.kuna namna ya kuipigania haki anayodai ,cyo kuifanya Kenya kila cku siasa anawatumia wezi wa kibera kuleta fujo,yanafanyika maandamano jamaa wanaiba Mali na kuvunja maduka.
 
Watu hata matanga hawajamaliza yeye yupo Zanzibar anakula bata, nasema hivi hata itokee ukuta sijui vibambaza bila wao, wake na watoto wao kutoka tena wawe mbele kabisa sitoki si kuandamana hata kupokea mtu
 
Maalim , Raila peoples presidents. Karibu Zanzibar ndugu.
 
Uyu Mzee mpuuzi sana,kisha akirudi kule waitishe mapokez wafe tena watu.kuna namna ya kuipigania haki anayodai ,cyo kuifanya Kenya kila cku siasa anawatumia wezi wa kibera kuleta fujo,yanafanyika maandamano jamaa wanaiba Mali na kuvunja maduka.

una ushahidi unacho kisema au ushabki wa chama
 
Back
Top Bottom