Raila Odinga's son, Fidel Odinga is Dead

Kwa hiyo gharama ya siasa ni Damu.?

Hujanielewa.Kuuana katika siasa si jambo jema lakini limekuwepo miaka nenda miak rudi na haliwezi kwisha.

Kwani Kolimba alifanywa nini na chama cha magamba?

Je,hizo si gharama za siasa japo ni mbaya na hazikubaliki?
 
Odinga ndo aone uchungu wa kufiwa, anawaua mashekh kama swala wa serengeti

ushahidi ni muhimu sana for any things you talk kuwa namakini sana kuna wezaleta shida kwa jamii..usihutunuku uislamu vibaya
 
Mtoto wa odinga kwani hawezi kufa? na habari zinasema amekutwa amekufa kwenye kitanda chake mwenyewe kwao huko asubuhiii. Kwanini tuseme moja kwa moja kuwa kauwawa. Kama mungu kampenda zaidi na kumuagiza israel amfwate je! acheni ushabiki
 
Ni vizuri sasa watoto wa Viongozi wapenda kujirusha kama Miraji na wengine wakachukuwa hatua za kujirekebisha mapema
 
Huo ni ukweli mtupu mkuu.

Juu ya kifo cha huyu kijana? La hasha.
Inasemekana mnashuku serikali kwa kifo cha Fidel. Si pengine yeye pia alifanya uadui na watu fulani kutokana na kiburi alilokuwa naya,(sisemi hivyo kwa ubaya,RIP bro but it's the truth. You were always rude and very arrogant) ama pia tabia yake ya ulevi kupita kiasi.
 
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINASEMA MWILI WA MTOTO WA KIUME WA RAILA ODINGA..FIDEL ODINGA...UMEKUTWA UMETUPWA KARIBU NA NYUMBANI KWAO NAIROBI.

==============


Fidel Odinga, son of former Prime Minister Raila Odingahas been found dead in his Karen home, Nairobi in unclear circumstances. Police are investigating cause of death of the youthful businessman-cum politician. Police say preliminary findings show Fidel had been out Saturday night before he came home early Sunday morning.

It's not clear what caused the death. A group of Members of Parliament and Senators trooped to Raila's home on receiving the news of the death.

Officers handling the case say they want to know where he was last night and those he was with. In the meantime leaders from across political divide have started sending messages of condolences to the Odinga family.

Machakos County Governor Alfred Mutua posted on Facebook page "My condolences to the family of Hon. Raila Odinga for the loss of my friend Fidel. He was such a lovely chap.

We chatted a few months ago and planned that come this January, he would bring some investors to visit me in Machakos."

Suna East Member of Parliament Junet Mohammed posted "My Sincere Condolences to Ida and Raila Odinga on the passing on of their Son,Fidel.

My thoughts and prayers are with you and your Family at this moment of great sadness and grief.May the Almighty God rest his Soul in eternal peace."


Source: Standard Digital News - Kenya : CORD leader Raila Odinga’s son Fidel passes onhttps://www.facebook.com/KTNKenya/posts/10155083819800533
 
R.I. P Fidel,

I will not take this tragedy to Raila family as an a shear warning for Raila Odinga! Raila want to see Kenya moja isiyo na ubazazi wala ubaguzi.
 
nipo nairobi hapa sisi ndio tunajua ukweli....ptuuuuuuuu mwenyewe

Kwani ulipo ambiwa Obama kawa Rais wa Marecan wewe ulienda kupiga kura?! Media ndizo zimekuhabarisha pamoja na ulimwengu wote. Sasa media hizo hizo hazihitaji mimi niwepo Nairobi. Ama hazihalalishi uwepo wako hapo Nairobi ya kwamba unachosema ni sahihi. Kuwa ndani ya Bahari haimaanishi wewe ni Samaki! Huna information za kutosha. Kajipange kwanza na ukome kukurupuka. Mtoto kafia chumbani kwake immediately baada ya kutoka kwenye mizunguko yake. Mmmmmffyyyuuu again and again...
 
Hicho ni kifo kama vifo vingine.
 
Why Raila son?

Pole sana jamaa, ulitaka mtoto wa nani afe? Kwa masuala ya kufa ninaamini siku zake zilikuwa zimefika,ndio maana huwa wanasema "tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi", just kujifariji, lakini ukweli kila nasfi itaonja mauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…