mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Nchi ya Kenya wanasiasa wanauwawa hovyo hovyo tu tangia enzi za Jommo Kenyatta hadi leo hii. Hii ni hatari sana kwa wanasiasa wa Kenya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna aina mbili za sababu za vifo maishani, natural and unnatural causes. Mtu anapodai uchunguzi anakuwa ameshuku kwamba labda kifo kilikuwa unnatural (kuuawa, ajali n.k)na sio cha kawaida, natural (magonjwa, uzee n.k.)Kwta sababu bado hakuna evidence kuwa kauawa, kuna sababu nyingi za vifo.