Raila Odinga's son, Fidel Odinga is Dead

Raila Odinga's son, Fidel Odinga is Dead

10891979_881240621927825_1997896332093715207_n.jpg



10489906_881240701927817_3592272938479967836_n.jpg



10885397_881240795261141_3640246837882535267_n.jpg



10915166_881240865261134_955772751411966899_n.jpg



 
News za kienyeji enyeji za vyombo vya habari vya Afrika Mashariki, hazikupi perspective. Hazikwambii hao wanaodai uchungu wanadhani marehemu alikuwa ana maadui/wapinzani gani au wenye sababu zipi ambazo inawezekana ndio ziliwasumbua wauaji wake. Nothing makes sense around here.
 
What a sad moment for the Odinga family, my sincere condolences to His Excellence the Right Honorable Former Prime Minister. We are together in this moment of sorrow. Be strong Baba. We all just but passers by.
 
Mutula Kilonzo...Otieno Kajwang'......na sasa Fidel Odinga

Things that make you go hmmm.......

Na wote vifo vya usiku..

1. Kilonzo atleast alikuwa na wanawake watatu usiku huo.

2. Otieno Kajwang..siri ya mke wake

3. Fidel Oding...siri ya marafiki na mke wake..

EBU PIA MATUMIZI YA VIAGRA YAANGALIWE...maana hii ya kunyqa tu bila kuonana na Daktari inaweza kuwa source ya hivi vifo vya ghafla vya "nyakati za usiku".
 
News za kienyeji enyeji za vyombo vya habari vya Afrika Mashariki, hazikupi perspective. Hazikwambii hao wanaodai uchungu wanadhani marehemu alikuwa ana maadui/wapinzani gani au wenye sababu zipi ambazo inawezekana ndio ziliwasumbua wauaji wake. Nothing makes sense around here.

Kwta sababu bado hakuna evidence kuwa kauawa, kuna sababu nyingi za vifo.
 
Amani ya kenya iliyokuwa inarejea polepole sasa itatoweka tena.....R.I.P Fidel Odinga
 
Huyu Fidel alimgonga na kuua mwendesha Pikipiki mwezi September 2014, haikuwa ishu kiivyo, leo yeye ndo tu naona Msiba ? Kifo hakina double standards, Ok RIP.
 
RIP Fidel
Ila kuna uwezekano mkubwa amekula kitu cha kufisha
 
Huyu Fidel alimgonga na kuua mwendesha Pikipiki mwezi September 2014, haikuwa ishu kiivyo, leo yeye ndo tu naona Msiba ? Kifo hakina double standards, Ok RIP.

Wrong, gari alikuwa amempa rafikiye aliyesababisha ajali.
 
huyo mtoto wake si mwanasiasa serikali itamuua kwa faida gani? Inawezekana mauaji hayana uhusiano na siasa

IVI MBONA MNAIINGILIA KAZI YA MUNGU?? KAMA MDA WAKE IMEFIKA KWA NINI HASIFE BHANA?????? MSIMKOSOE MUNGU
RIP CASTRO RAILA ODINGa
 
am shocked of the sudden death,i pray that God gives the Odingas the strength to move on.RIP FIDEL.!
 
Na wale wanaopigwa risasi mitaani huko Narobi nao pia Mungu amewapenda zaidi?

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Nimesema "kwa kijifariji huwa tunasema - tulikupenda ila Mungu amekupenda zaidi". Hoja ya msingi ni kuwa "kila nafsi itayaonja mauti" kwa njia yoyote ile, iwe kwa kupigwa risasi, kuchomwa moto,kuliwa na simba, air crash,etc.
 
Pole sana wafiwa, familia ya Raila pamoja na Wakenya wote, msiba huu umewagusa wengi akiwemo Mh.Magufuli nilipata kuiona/kuishuhudia familia ya Raila Odinga ikisafiri kutoka Kenya kuja Tanzania kumsalimia Mh.Magufuli. Pole sana Mh.Magufuli kumpoteza mtoto wa rafiki yako kipenzi Ex-PM Raila Odinga.

IMG_0255.jpg
Fidel Castro Odinga enzi za uhai wake akisalimiana na Mh.Magufuli pembeni anashuhudia Ida Odinga - mama mzazi wa marehemu.

IMG_0272.jpg
Fidel Odinga enzi za uhai wake
View attachment 216057
Familia ya Odinga wakiwa Dar es Salaam kwa Mwenyeji wao Mh.Magufuli wa pili kutoka kulia ni marehemu Fidel Odinga kushoto kwake ni mke wake Lwam Gatachew Bekele raia wa Eritrea na wa tatu kutoka kulia kwake ni mdogo wake Raila Junior na mke wake.
View attachment 216059
Kutoka Kushoto Winnie Odinga na Rosemary Odinga akiwa na mtoto wake

IMG_0283.jpg
Mh.Magufuli na familia yake
akiagana na rafiki yake Mh.Raila Odinga aliyemtembelea Dar es Salaam

 
Mbona huku uswahilini watu wanafariki ghafla mara kibao tu na hatusikii habari za kuuwawa!! Kwan mtoto wa kiongoz ni marufuku kufariki ghafla!
 
Back
Top Bottom