Fidel Raila Amolo Odinga (41) alirejea nyumbani kwake mtaa wa matajiri wa Kareen Nairobi alfajiri ya leo (sunday) , akiwa anatokea matembezini .
Habari zinasema , huko viwanjani alikua na baadhi ya marafiki zake .
Alifika nyumbani kwake na kulala , ambapo asubuhi amekutwa kitandani while already passing away .
Hadi muda huu si familia wala serikali iliyokwishatoa coz of death .
CID Polisi na Madaktari wanaendelea na uchunguzi .
Mhe. Raila na mkewe Ida walijaliwa kupata watoto wanne boys wawili :
1. Fidel
2. Raila Junior
With two gallz
3 . Rosemary
4. Winnie .
Katika uhai wake Fidel alikua mfanyabiashara maarufu billionear moja ya mali alizoacha ni Hotel ya hadhi ya 4 star iliyopo Kisumu yenye value ya Ksh 950 mil , aidha mke wake wa Kwanza alimuoa Veronica Wanjiru (mkikuyu) ndoa ambayo ilimjengea jina Babaake (Raila) kipindi fitina za ukabila baina ya wakikuyu na wajaluo zilipokua zinagusa chaguzi za serikali .
Hakuishi sana na Wanjiru , ambapo waliachana na akumuoa Binti wa Kiithopia Lwam Gatechew Bekele .