mende 2014
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 763
- 131
Kuna aina mbili za sababu za vifo maishani, natural and unnatural causes. Mtu anapodai uchunguzi anakuwa ameshuku kwamba labda kifo kilikuwa unnatural (kuuawa, ajali n.k)na sio cha kawaida, natural (magonjwa, uzee n.k.)Kwta sababu bado hakuna evidence kuwa kauawa, kuna sababu nyingi za vifo.