Railway officials take 750Bn in bribes

Railway officials take 750Bn in bribes

Leo hii mumebaki mahandaki matupu, hamna cha Noah wala nini.

Rudisheni ile ardhi inayohodhiwa na mafamilia makubwa yenye kenya. Chukueni mahektari toka kwa kenyatta, dalamare et al. Ndiyo tutaona ya kuwa nyie ni wapigania haki.
Our Land Our Sovereignty.
 
Rudisheni ile ardhi inayohodhiwa na mafamilia makubwa yenye kenya. Chukueni mahektari toka kwa kenyatta, dalamare et al. Ndiyo tutaona ya kuwa nyie ni wapigania haki.
Our Land Our Sovereignty.

Tatizo mnaogopa kusoma mikataba, mnakua wazembe wa kingereza. Leo hii hata hao Acacia wamepata jeuri ya kuwapindisha pindisha nchi yote.
 
Noah wamepata wajanja wachache (wametu-represent) walioingia mikataba hiyo... 😀😀😀
Hehehe haya bwana nimetulia, bora hao wachache wawe Watanganyika, maana hakuna kitu huniuma kuona vinatoka nje ya Afrika.
 
Tatizo mnaogopa kusoma mikataba, mnakua wazembe wa kingereza. Leo hii hata hao Acacia wamepata jeuri ya kuwapindisha pindisha nchi yote.
Kwani tatizo ni Kiingereza? Hata mikataba wa Kiswahili watu hawana muda wa kusoma, wanaangalia kwenye kipengele cha pesa (zimeandikwa shilingi ngapi), basi...
 
Tatizo mnaogopa kusoma mikataba, mnakua wazembe wa kingereza. Leo hii hata hao Acacia wamepata jeuri ya kuwapindisha pindisha nchi yote.

Ahaaa haaa haaa
unavyoongea hivyo utafikiri SGR mikataba haikuwa ktk Mandarin.
 
Nimekuja mbio kwa mshangao wa 750bn, nikakuta kumbe ni zile pesa madafu za majirani, kama zile zenu.
😀😀😀mimi pia...nimeshindwa inawezekanaje 750bn ($7.5bn) yote imenyakuliwa na wanasiasa...duh! hio hata Nigeria sijawahi skia 😀😀😀
 
Back
Top Bottom