Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Noah wamepata wajanja wachache (wametu-represent) walioingia mikataba hiyo... 😀😀😀Leo hii mumebaki mahandaki matupu, hamna cha Noah wala nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noah wamepata wajanja wachache (wametu-represent) walioingia mikataba hiyo... 😀😀😀Leo hii mumebaki mahandaki matupu, hamna cha Noah wala nini.
Leo hii mumebaki mahandaki matupu, hamna cha Noah wala nini.
Rudisheni ile ardhi inayohodhiwa na mafamilia makubwa yenye kenya. Chukueni mahektari toka kwa kenyatta, dalamare et al. Ndiyo tutaona ya kuwa nyie ni wapigania haki.
Our Land Our Sovereignty.
Hehehe haya bwana nimetulia, bora hao wachache wawe Watanganyika, maana hakuna kitu huniuma kuona vinatoka nje ya Afrika.Noah wamepata wajanja wachache (wametu-represent) walioingia mikataba hiyo... 😀😀😀
Jirani I need help with translation here 😂Nimekuja mbio kwa mshangao wa 750bn, nikakuta kumbe ni zile pesa madafu za majirani, kama zile zenu.
Kwani tatizo ni Kiingereza? Hata mikataba wa Kiswahili watu hawana muda wa kusoma, wanaangalia kwenye kipengele cha pesa (zimeandikwa shilingi ngapi), basi...Tatizo mnaogopa kusoma mikataba, mnakua wazembe wa kingereza. Leo hii hata hao Acacia wamepata jeuri ya kuwapindisha pindisha nchi yote.
Tatizo mnaogopa kusoma mikataba, mnakua wazembe wa kingereza. Leo hii hata hao Acacia wamepata jeuri ya kuwapindisha pindisha nchi yote.
Kwani tatizo ni Kiingereza? Hata mikataba wa Kiswahili watu hawana muda wa kusoma, wanaangalia kwenye kipengele cha pesa (zimeandikwa shilingi ngapi), basi...
😀😀😀mimi pia...nimeshindwa inawezekanaje 750bn ($7.5bn) yote imenyakuliwa na wanasiasa...duh! hio hata Nigeria sijawahi skia 😀😀😀Nimekuja mbio kwa mshangao wa 750bn, nikakuta kumbe ni zile pesa madafu za majirani, kama zile zenu.