Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Noah wamepata wajanja wachache (wametu-represent) walioingia mikataba hiyo... πππLeo hii mumebaki mahandaki matupu, hamna cha Noah wala nini.
Leo hii mumebaki mahandaki matupu, hamna cha Noah wala nini.
Rudisheni ile ardhi inayohodhiwa na mafamilia makubwa yenye kenya. Chukueni mahektari toka kwa kenyatta, dalamare et al. Ndiyo tutaona ya kuwa nyie ni wapigania haki.
Our Land Our Sovereignty.
Hehehe haya bwana nimetulia, bora hao wachache wawe Watanganyika, maana hakuna kitu huniuma kuona vinatoka nje ya Afrika.Noah wamepata wajanja wachache (wametu-represent) walioingia mikataba hiyo... πππ
Jirani I need help with translation here πNimekuja mbio kwa mshangao wa 750bn, nikakuta kumbe ni zile pesa madafu za majirani, kama zile zenu.
Kwani tatizo ni Kiingereza? Hata mikataba wa Kiswahili watu hawana muda wa kusoma, wanaangalia kwenye kipengele cha pesa (zimeandikwa shilingi ngapi), basi...Tatizo mnaogopa kusoma mikataba, mnakua wazembe wa kingereza. Leo hii hata hao Acacia wamepata jeuri ya kuwapindisha pindisha nchi yote.
Tatizo mnaogopa kusoma mikataba, mnakua wazembe wa kingereza. Leo hii hata hao Acacia wamepata jeuri ya kuwapindisha pindisha nchi yote.
Kwani tatizo ni Kiingereza? Hata mikataba wa Kiswahili watu hawana muda wa kusoma, wanaangalia kwenye kipengele cha pesa (zimeandikwa shilingi ngapi), basi...
πππmimi pia...nimeshindwa inawezekanaje 750bn ($7.5bn) yote imenyakuliwa na wanasiasa...duh! hio hata Nigeria sijawahi skia πππNimekuja mbio kwa mshangao wa 750bn, nikakuta kumbe ni zile pesa madafu za majirani, kama zile zenu.