Raimundo popote pale ulipo

it doesn't matter kama ni kweli au uongo, mimi nakushauri unyamaze tu haina sababu kubishana,,,, muungwana akivuliwa nguo huchutama

Naam!!
Kweli na Uongo tunaujua mimi, yeye na wengine wanaonijua
Na mara nyingi huwa sijali watu watanionaje
Nitanyamaza pale nitakapojisikia kufanya hivyo.
 
Una kila sababu ya kumkumbuka, kwa ujumla kila mwanadamu ana udhaifu wake, japo tuna tabia ya kuushambulia udhaifu uliojiweka dhahiri...mimi sikuwahi kuwa na ukaribu naye so sina sababu ya kumnyooshea kidole
 
No komenti
 
Ni ngum kuelewa lkn kwa alie wahi kushauliwa kitu na hiyo kaka kwel yuko smart kichwani...achilia mbali mapungufu yake ya kibinadam
hakunaga tapeli mjinga,wote wako smart kichwani,alafu mi nlijua mtu kasepa na kijiji hela ya maana milioni huko na zaidi,kumbe alfu 30,20 tu ndo kelele zote hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…