Raimundo popote pale ulipo

Raimundo popote pale ulipo

it doesn't matter kama ni kweli au uongo, mimi nakushauri unyamaze tu haina sababu kubishana,,,, muungwana akivuliwa nguo huchutama

Naam!!
Kweli na Uongo tunaujua mimi, yeye na wengine wanaonijua
Na mara nyingi huwa sijali watu watanionaje
Nitanyamaza pale nitakapojisikia kufanya hivyo.
 
Huku watu hatujuani.
Wewe ukiamua kumkopesha mtu hela, hata asipokulipa umetaka mwenyewe.
Hali ilivyo ngumu nikimkopesha Mtu ninayemjua kabisa elfu 10, tunaanza kuandikishana kwa mjumbe, tunaenda kwa balozi , kwa Mwenyekiti nk.
Sembuse mtu nisiyemjua?
Hata Mimi kazi ninayoifanya yeye ndiyo alinipa mbinu zote za kupata na kunisaidia namna ya kupita interview.
Kwanza ni le akili kubwazi...
Una kila sababu ya kumkumbuka, kwa ujumla kila mwanadamu ana udhaifu wake, japo tuna tabia ya kuushambulia udhaifu uliojiweka dhahiri...mimi sikuwahi kuwa na ukaribu naye so sina sababu ya kumnyooshea kidole
 
Nimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.
Ila najiuliza amekukosea nini kikubwa mpaka umdhalilishe hivyo?

Au umeona wivu baada ya kujua kuwa Rai nae alipiga? Sio fair mkuu, binadamu hatuko static hiyo midharau yako hiyo kwa huyu mrembo haikusaidii kabisa!!
Sidhani kama atakua kama alivyo milele.

rubii don't get ur self back...hakuna binadamu aliyekamilika.
And u can't Go Back and Change a bad beginning... Start where ur to create ur successful ending....

Hii kula demu humu na ku expose madhaifu yake ni kosa kubwa sana.
na ni uboya full.
No komenti
 
Ni ngum kuelewa lkn kwa alie wahi kushauliwa kitu na hiyo kaka kwel yuko smart kichwani...achilia mbali mapungufu yake ya kibinadam
hakunaga tapeli mjinga,wote wako smart kichwani,alafu mi nlijua mtu kasepa na kijiji hela ya maana milioni huko na zaidi,kumbe alfu 30,20 tu ndo kelele zote hizi
 
Back
Top Bottom