Raimundo popote pale ulipo

Ngoja ukutwe na cute b ,sikusaidii
Wala Mimi sijawahi mforce mtu amtukuze Raimundo my dear.
Kila MTU anacoment anachokijua.
Msimamo wangu ni kwamba.
Sijatapeliwa , hivyo nikisema sijatapeliwa sitaki mapoovu.
Tatizo watu wa nataka kulazimisha kila mmoja aongee bad kwa Rai Mimi siyo mnafiki SIWEZI kushuhudia uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Feel free Hata K nyeusi watumie waione watu wanataka kusikia mambo yako buana
Usisahau na Kaburi la Baba
Nafikiri hata kunyamaza ni majibu..unaonaje hilo?

Watu wanajua kupima mambo yapaswayo kusemwa na yasiyofaa..vile vile sio kweli yote inayofaa kusemwa hadharini..hata kama mmewahi kudufya haikuwa busara kuanikana hapa. Nashauri umjibu kwa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…