Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Sakayo anarudi linii?[emoji8][emoji8][emoji8]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sakayo anarudi linii?[emoji8][emoji8][emoji8]
Bado bado kidogo mpenziSakayo anarudi linii?
Wala Mimi sijawahi mforce mtu amtukuze Raimundo my dear.Ngoja ukutwe na cute b ,sikusaidii
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kuna wengine hata Ku quotiana kwenye nyuzi hawajawahi lakini mwee wana uchungu utadhani wanataka kuzaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Jirani uko poa lkn!Kuna wengine hata Ku quotiana kwenye nyuzi hawajawahi lakini mwee wana uchungu utadhani wanataka kuzaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri hata kunyamaza ni majibu..unaonaje hilo?Feel free Hata K nyeusi watumie waione watu wanataka kusikia mambo yako buana
Usisahau na Kaburi la Baba
Nipo pia mkuu
dhulumaKupigwa nini??
Asante kwa corr..
Hii ndoa nimeshaitengua.Mbona nimeshasemaga.
Raimundo ana mke na watoto 2 . humu jf alikuwa na KIMADA na nilimtaja.
Mimi Mume wangu ni sumbai
Sent using Jamii Forums mobile app
Muhenga vipi??[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo sasa hivi ni Mimi na wewe?Hii ndoa nimeshaitengua.
Muhenga mwenzangu mzima jamanMuhenga vipi??
makaburi unayataja ya nini tena???Kwa hiyo sasa hivi ni Mimi na wewe?
Makaburi yatatuacha salama kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mzima. Sakayo na geni wako poa?? Nimmemiss muhenga geniMuhenga mwenzangu mzima jaman