Nisimulie basi...Mi mvivu kusomanimemaliza kusoma loooh..!!!hahahaaa..hii ndo jf bwana
kuna wanaume kama mabinti
sent from motorola bapa and nokia jeneza
nimemaliza kusoma loooh..!!!hahahaaa..hii ndo jf bwana
kuna wanaume kama mabinti
sent from motorola bapa and nokia jeneza
duing good kakaMzima weye? 😵😵😵😵
mwenzaanguu...watu wamekuja kuumbuana humu...utafikiri walivyoenda gesti walitangaza vileNisimulie basi...Mi mvivu kusoma
That's bad...Mi nikitembea na mtu then aje kunianika humu namshusha busha la kike wallahmwenzaanguu...watu wamekuja kuumbuana humu...utafikiri walivyoenda gesti walitangaza vile
sent from motorola bapa and nokia jeneza
kwa mtindo huo lazima watu wakomae kuwa jamaa tapeli.[emoji23][emoji23]Aliliwa akalipia gharama mwnyw?!...watu wabaya jamani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ha ha ha akija akibisha kwamba yeye Hakuwa kimada wa Ray nitaweka.
Ujue sikupenda tufike huku. Ila siku moja kwenye Uzi mmoja alisema Mimi ni wifi yani mke wa Raimundo. Anaita watu eti waje waone . akasahau kwamba mti anaoukata ndiyo alioukalia....
Leo pia sikutaka kuchangia huu Uzi kiviile , amekuja hapa ananisema kimafumbo.
Sasa kama yeye Hakuwa kimada wa Raimundo na kilichofanya wagombane ni alidanganya kwamba ATM card imesahaulika alipie lodge na misosi halafu jamaa hajamrudishia aje hapa abishe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unapambana na hali yakokwa mtindo huo lazima watu wakomae kuwa jamaa tapeli.[emoji23][emoji23]
Hahahaj[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zangu mie we mkaka taratibu wengine mbavu zetu zimeegeshwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]That's bad...Mi nikitembea na mtu then aje kunianika humu namshusha busha la kike wallah
Nimependa signature ya simu yako ujue aisee toleo hilo sijui la nchi ganimwenzaanguu...watu wamekuja kuumbuana humu...utafikiri walivyoenda gesti walitangaza vile
sent from motorola bapa and nokia jeneza
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] busha hiloooo kutoka Bunju mpk PostaaThat's bad...Mi nikitembea na mtu then aje kunianika humu namshusha busha la kike wallah
la kwetu kwa madengee[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nimependa signature ya simu yako ujue aisee toleo hilo sijui la nchi gani
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna wanaume wengine humu JF ni chenga sana.... Unamtongoza demu anakupiga chini halafu unakuja kumtangaza humu, huo ni ushoga...
Ni bora kupiga dili na mwanamke atakulindia siri zako ila mwanaume aisee, kuna mmoja nmesoma comment yake post za mwanzo ndyo hakuna kitu kabisa kichwani
HhhhhaaaaaaaaNilipowaambia ni Raimundo wa jf wakasema huyu kukimbizwa na wananchi wenye hasira kali ni kawaida,wakasema halafu hawajawahi kumkamata ana mbio sana
Wanaume mpo wachache sanaKuna wanaume wengine humu JF ni chenga sana.... Unamtongoza demu anakupiga chini halafu unakuja kumtangaza humu, huo ni ushoga...
Ni bora kupiga dili na mwanamke atakulindia siri zako ila mwanaume aisee, kuna mmoja nmesoma comment yake post za mwanzo ndyo hakuna kitu kabisa kichwani
Kweli kabisa kama imevyo jidhihirisha kwenye hii thread.Wanaume mpo wachache sana