Raimundo popote pale ulipo

Raimundo popote pale ulipo

Ha ha ha akija akibisha kwamba yeye Hakuwa kimada wa Ray nitaweka.
Ujue sikupenda tufike huku. Ila siku moja kwenye Uzi mmoja alisema Mimi ni wifi yani mke wa Raimundo. Anaita watu eti waje waone . akasahau kwamba mti anaoukata ndiyo alioukalia....
Leo pia sikutaka kuchangia huu Uzi kiviile , amekuja hapa ananisema kimafumbo.
Sasa kama yeye Hakuwa kimada wa Raimundo na kilichofanya wagombane ni alidanganya kwamba ATM card imesahaulika alipie lodge na misosi halafu jamaa hajamrudishia aje hapa abishe...

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
mwenzaanguu...watu wamekuja kuumbuana humu...utafikiri walivyoenda gesti walitangaza vile

sent from motorola bapa and nokia jeneza
Nimependa signature ya simu yako ujue aisee toleo hilo sijui la nchi gani
 
That's bad...Mi nikitembea na mtu then aje kunianika humu namshusha busha la kike wallah
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] busha hiloooo kutoka Bunju mpk Postaa

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Kuna wanaume wengine humu JF ni chenga sana.... Unamtongoza demu anakupiga chini halafu unakuja kumtangaza humu, huo ni ushoga...

Ni bora kupiga dili na mwanamke atakulindia siri zako ila mwanaume aisee, kuna mmoja nmesoma comment yake post za mwanzo ndyo hakuna kitu kabisa kichwani
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Inafaaa sana umuwekee
Wimbo wa jide na fa mwanaume
Kama bint

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kuna wanaume wengine humu JF ni chenga sana.... Unamtongoza demu anakupiga chini halafu unakuja kumtangaza humu, huo ni ushoga...

Ni bora kupiga dili na mwanamke atakulindia siri zako ila mwanaume aisee, kuna mmoja nmesoma comment yake post za mwanzo ndyo hakuna kitu kabisa kichwani
Wanaume mpo wachache sana
 
Back
Top Bottom