Wavulana ndo wanatuharibiaWanaume mpo wachache sana
Hahahahaha dah aisee mnanivunja mbavu kuna jamaa nasikia anaitwa mzee wa Assist.. Ndiye kafanya haya?Aliliwa akalipia gharama mwnyw?!...watu wabaya jamani
Jamaa nimem maindi kinoma, jamaa ningekuwa nae karibu ningemfuki mdomoni...Wanaume mpo wachache sana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mdogo angu nimecheka hizi details za humu, kuna watu wanaunga unga information ilimradi waonyeshe wanamjua mtu, baba yupi huyo aliekufa? na wewe umezidi kuentertain pm, ukimkataa mtu lazima aje kutema povu hukuAcha nimpe kampani mtoto wa MUHAS uyu inaelekea amejawa na upweke achelewi kuanzisha thread na kujijibu mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa ndio wanaume wa jfNa kwanini uende Pm ya mmiliki wa K nyeusi?
cmon kiwatengu, unadhani hizi tuhuma za jf huwa ni kweli 100%,au ni mtu hukaa na watu wachache huko kwenye magroup watsap na kupanga mambo, na watu wengi hupenda kuamini hayo yanayotungwaNimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.
Ila najiuliza amekukosea nini kikubwa mpaka umdhalilishe hivyo?
Au umeona wivu baada ya kujua kuwa Rai nae alipiga? Sio fair mkuu, binadamu hatuko static hiyo midharau yako hiyo kwa huyu mrembo haikusaidii kabisa!!
Sidhani kama atakua kama alivyo milele.
rubii don't get ur self back...hakuna binadamu aliyekamilika.
And u can't Go Back and Change a bad beginning... Start where ur to create ur successful ending....
Hii kula demu humu na ku expose madhaifu yake ni kosa kubwa sana.
na ni uboya full.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hapana huwa sipendi kuingilia yasiyonihusu, dada hizo screenshot ulizonazo unatamani sana kuzirusha, anzisha thread utupie hizo mambo kurahisisha maisha, shusha huo mzigoHa ha ha akija akibisha kwamba yeye Hakuwa kimada wa Ray nitaweka.
Ujue sikupenda tufike huku. Ila siku moja kwenye Uzi mmoja alisema Mimi ni wifi yani mke wa Raimundo. Anaita watu eti waje waone . akasahau kwamba mti anaoukata ndiyo alioukalia....
Leo pia sikutaka kuchangia huu Uzi kiviile , amekuja hapa ananisema kimafumbo.
Sasa kama yeye Hakuwa kimada wa Raimundo na kilichofanya wagombane ni alidanganya kwamba ATM card imesahaulika alipie lodge na misosi halafu jamaa hajamrudishia aje hapa abishe...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji102] [emoji102] [emoji102] katikati ya umbea anapatikana mwanaumeAliliwa akalipia gharama mwnyw?!...watu wabaya jamani
viwanda vya umbea tunaweza, naona vyerehani zaidi ya 1000 hapa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hizi siredi nyingine ndio maana tunachelewa uchumi wa viwanda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asalaleBodaboda walikuwa wanauliza ni kitu gani kinatupita hicho kina kasi hivo nikawaambia raimundo wakauliza hiyo raimundo ni toleo jipya la pikipiki nikawaambia ni raimundo wa jf
asante umesema wewe mwanaume mwenzaoKuna wanaume wengine humu JF ni chenga sana.... Unamtongoza demu anakupiga chini halafu unakuja kumtangaza humu, huo ni ushoga...
Ni bora kupiga dili na mwanamke atakulindia siri zako ila mwanaume aisee, kuna mmoja nmesoma comment yake post za mwanzo ndyo hakuna kitu kabisa kichwani
Ww una jamaa mpya cku hizi[emoji102] [emoji102] [emoji102] katikati ya umbea anapatikana mwanaume
usijue issue za mwanao shuleni uje kuulizia mambo ya mtu mtaani, [emoji28] [emoji28] [emoji28] hebu nicheke mie
wa zamani ni yupi? jf mnayajua ya watu ukute nilishapewa mme humuWw una jamaa mpya cku hizi
Mm nmekwambia mtu wa humu?!...umeshaanza kujihamiwa zamani ni yupi? jf mnayajua ya watu ukute nilishapewa mme humu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nijihami kwa lipi sasa, hakuna nnachoogopa humu jfMm nmekwambia mtu wa humu?!...umeshaanza kujihami
I lyk that part unayojifanya church gal[emoji3] [emoji3] [emoji3] nijihami kwa lipi sasa, hakuna nnachoogopa humu jf