Raimundo popote pale ulipo

Raimundo popote pale ulipo

Wanaume mpo wachache sana
Jamaa nimem maindi kinoma, jamaa ningekuwa nae karibu ningemfuki mdomoni...

Halafu mods wamemlia buyu yule jamaa, sijui mamods wapo nyuma yake hata sielewi..

Sheria za jf zinavunjwa hakuna anae jali.... Privacy za watu zilindwe kwa nguvu zote
 
Acha nimpe kampani mtoto wa MUHAS uyu inaelekea amejawa na upweke achelewi kuanzisha thread na kujijibu mwenyewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mdogo angu nimecheka hizi details za humu, kuna watu wanaunga unga information ilimradi waonyeshe wanamjua mtu, baba yupi huyo aliekufa? na wewe umezidi kuentertain pm, ukimkataa mtu lazima aje kutema povu huku
 
Na kwanini uende Pm ya mmiliki wa K nyeusi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hawa ndio wanaume wa jf

kuna wanaume wanajielewa humu, huwezi kuwakuta kwanza majukwaa haya, pili hawana mda wa drama, busy na mambo muhimu,hata real life wako vizuri pia.uwii mpaka natamani kuwa cc[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] ,this is to all gentlemen here,


part 2 sasa ndio hawa utawakuta kila thread, vijembe, umbea, uchochezi yani 24/7 wapo pm mara thread hii etc kama wadada vile [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,uwiii hawa nikianza kuwa cc ni wengi mno,

mdogo angu take note, usijibu pm za namna hio, usijimix kabisa lolest, nimeandika huku nacheka
 
Nimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.
Ila najiuliza amekukosea nini kikubwa mpaka umdhalilishe hivyo?

Au umeona wivu baada ya kujua kuwa Rai nae alipiga? Sio fair mkuu, binadamu hatuko static hiyo midharau yako hiyo kwa huyu mrembo haikusaidii kabisa!!
Sidhani kama atakua kama alivyo milele.

rubii don't get ur self back...hakuna binadamu aliyekamilika.
And u can't Go Back and Change a bad beginning... Start where ur to create ur successful ending....

Hii kula demu humu na ku expose madhaifu yake ni kosa kubwa sana.
na ni uboya full.
cmon kiwatengu, unadhani hizi tuhuma za jf huwa ni kweli 100%,au ni mtu hukaa na watu wachache huko kwenye magroup watsap na kupanga mambo, na watu wengi hupenda kuamini hayo yanayotungwa
 
Ha ha ha akija akibisha kwamba yeye Hakuwa kimada wa Ray nitaweka.
Ujue sikupenda tufike huku. Ila siku moja kwenye Uzi mmoja alisema Mimi ni wifi yani mke wa Raimundo. Anaita watu eti waje waone . akasahau kwamba mti anaoukata ndiyo alioukalia....
Leo pia sikutaka kuchangia huu Uzi kiviile , amekuja hapa ananisema kimafumbo.
Sasa kama yeye Hakuwa kimada wa Raimundo na kilichofanya wagombane ni alidanganya kwamba ATM card imesahaulika alipie lodge na misosi halafu jamaa hajamrudishia aje hapa abishe...


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hapana huwa sipendi kuingilia yasiyonihusu, dada hizo screenshot ulizonazo unatamani sana kuzirusha, anzisha thread utupie hizo mambo kurahisisha maisha, shusha huo mzigo

kuna kitu najifunza jf kama ambavyo unajitahidi kujua mambo ya watu, wapo watu pia wanayajua yako pia, inawezekana wasiyaongelee jukwaani kama hivi ila wanayajua, mnawekeana vinyongo na kubeba watu hata hawawaongezei kitu maishani for what?

cc: sumbai hongera
 
Bodaboda walikuwa wanauliza ni kitu gani kinatupita hicho kina kasi hivo nikawaambia raimundo wakauliza hiyo raimundo ni toleo jipya la pikipiki nikawaambia ni raimundo wa jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asalale
 
Kuna wanaume wengine humu JF ni chenga sana.... Unamtongoza demu anakupiga chini halafu unakuja kumtangaza humu, huo ni ushoga...

Ni bora kupiga dili na mwanamke atakulindia siri zako ila mwanaume aisee, kuna mmoja nmesoma comment yake post za mwanzo ndyo hakuna kitu kabisa kichwani
asante umesema wewe mwanaume mwenzao
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] katikati ya umbea anapatikana mwanaume

usijue issue za mwanao shuleni uje kuulizia mambo ya mtu mtaani, [emoji28] [emoji28] [emoji28] hebu nicheke mie
Ww una jamaa mpya cku hizi
 
nitarudi ijumaa jf, nitakuta mipovu yenu na matusi juu, sijawahi kukatika kiungo kwa matusi zaidi nikute matusi mapya nijifunze
wish you a successful week ahead

cc rubii my dear endelea kuwapuuzia hata wakisema umeshindwa acha wajipe moyo hivyo ila usiwape chance ya kujibizana nao,wapange mipango huko kwenye groups bahati mbaya tunazipata zote, wakuchokonoe uwajibu usijibu kitu, ignoring them is the best answer
 
Back
Top Bottom