Raimundo popote pale ulipo

so?? nini kinakusumbua?
mahusiano yangu mimi na Mungu u think ntahangaika kuyaprove kwako wewe kama nani[emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] ....i cn see hw easily i gt into ur nerves
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] ....i cn see hw easily i gt into ur nerves
hahah, mtu nisiemjua hanipandishi mzuka kirahisi hivyo
ila sientertain ujinga, ukinichokoza lazima nikujibu, nikikujibu kumbe unajipa ujiko u get into my nerves, nikinyamaza mnajisifu kakimbia
[emoji3] [emoji3] usinipangie, hata ukiona u get into my warevaa ni wewe tu hainihusu hio
 
Kumbe hukujua km unaandika ujinga wakat unaanza....uliona unaandika ujanja?!
 
Huyo rubii alicho fanyiwa ni kitendo cha unyanya saji, imeniuma sana, mtu mmoja anaharibu sifa za wanaume wote...
 
Kumbe hukujua km unaandika ujinga wakat unaanza....uliona unaandika ujanja?!
ujinga ujanja mie sijali, do i look like I care?

ulianza nimeshapata mwanaume mwingine, ukaja am not a church girl... naona unatapatapa tu sijaona jipya hapo
pambana na mambo yako....punguza umbea teh, umbea unatufaa sisi wadada bana we kuwa busy kufatilia projects zako, pambana wanao wasome HOPAC, IST, ISM, ukijitahidi hata HAVARD, umiza kichwa kufikiri ninunue ndinga gani jipya kali etc hayo ndio mambo wanaume wanahangaika nayo ila sio brenda leo kafanyaje smh when do you get time for your family[emoji28] [emoji28] [emoji28]

nilishaaga hapa jamani
uwe na siku na week njema, huko ninapoenda bahati mbaya sitokuwa busy na simu but nikirudi nitakuta majibu
 
Kumbe ww ulivyoanza kuniquote haukuwa umbea?...au uliposema una taarifa watu watakuja kusema issue za watu humu ilikuwa ni nn?


Watu walishaongea yakaisha sasa ww umeibuka ghafla unaanza kupambana.
 
Kumbe unaijua familia yangu?...nlikuwa sifahamu
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mdogo angu nimecheka hizi details za humu, kuna watu wanaunga unga information ilimradi waonyeshe wanamjua mtu, baba yupi huyo aliekufa? na wewe umezidi kuentertain pm, ukimkataa mtu lazima aje kutema povu huku
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] Rubii mtoto wa kariakoo. Let them think watakavyo.
Form4 2013
Shule ilinishinda diploma 1 GPA iligoma
K nyeusi Baba marehemu
Nilikopwa 30000 na Raimundo
Kama nafsi yangu inaelewa mambo halisi basi Moyoni mwangu nina amani.



Rubiikimimi[emoji85]
 
Huyo rubii alicho fanyiwa ni kitendo cha unyanya saji, imeniuma sana, mtu mmoja anaharibu sifa za wanaume wote...
[emoji1] Wala wasikusononeshe hawa wanadamu. kwani wakisema nimekopwa 30000 ya gesti na sijakopwa napata madhara gani?
Na kama nimekopwa inahusika nini na Kashfa ya utapeli ya raimundo?? Waliianzisha wahusika na mwenyewe akathibitisha ni kweli kwakuwa Raimundo aliwahi kuwa na mahusiano na mimi utapeli wake wa njia ya assist unafutika?

Rubiikimimi[emoji85]
 
Kumbe ww ulivyoanza kuniquote haukuwa umbea?...au uliposema una taarifa watu watakuja kusema issue za watu humu ilikuwa ni nn?


Watu walishaongea yakaisha sasa ww umeibuka ghafla unaanza kupambana.
usijisuuze, kuchambwa wima wima mwanaume inahusu?
umbea kwa mwanamke kawaida sana ni sifa actually, ila si kwa mwanaume, get that clear

au unahisi wanaume wengine hawajauona huu uzi huoni upo pekeako katikati kutaka kujua enhe rubii ikawaje sijui hakulipa guest watever!!! acha kushadadia hizo kazi zinawapendeza hawa wadada humu, huuu ni ukweli ata ukiutwist left and right
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…