[emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817] [emoji817]Mzee niligundua Raimundo ni social Interaction master...
Pengo lake halina spear
Umeona eeeHata Mimi nimekumiss RAIMUNDO popote ulipo.
Yote 9 kumi support zako , michango yako haitokaa ifutike.
Kama una ID nyingine nitext tuu.
Kamwe situokuwa mnafiki , mfuata mkumbo eti kisa wengi wametendwa niungane nao.
Kivyao...kwanza mjini shule.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Hiyo fishing village ndio unaiita shule?Hata Mimi nimekumiss RAIMUNDO popote ulipo.
Yote 9 kumi support zako , michango yako haitokaa ifutike.
Kama una ID nyingine nitext tuu.
Kamwe situokuwa mnafiki , mfuata mkumbo eti kisa wengi wametendwa niungane nao.
Kivyao...kwanza mjini shule.
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Kwani wewe unasemaje labla?Hiyo fishing village ndio unaiita shule?
Rubii....Acha ajipumzikie tu maana hata akifufuka bado sitafikisha GPA ya 3 mwaka wa kwanza diploma mie
Huku watu hatujuani.Umeona eee
Mi jamaa alikua msaada sana kwangu kuna situation nilikua napitia alinisaidia sana kuniweka sasa
Mtu kama huyo anajitoa kukushaur hata akiomba assist usimpe jaman...mbona wanasaikolojia wengine wanatoa Huduma ya ushauri na hela kabisaaaa.....
Nimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.wewe umehitimu kidato cha nne 2013 ukaona advance hupawezi ukaona u shift uende diplo ,diplo napo unapodoa .
Ushauri bora uache shule ukajifunze hata kushona nguo ,sio lazima wote tusome .as long as umefika form 4 na ww ni ke hicho ni kigezo tosha utaweza kuolewa.
Waliutoa mkuu...ila huyu dada ntampata tyuHaha haha niliucheki nashangaa siunoni.[emoji23]
Hata mimi nakutaka ujue...[emoji12] [emoji12] [emoji12]Huku watu hatujuani.
Wewe ukiamua kumkopesha mtu hela, hata asipokulipa umetaka mwenyewe.
Hali ilivyo ngumu nikimkopesha Mtu ninayemjua kabisa elfu 10, tunaanza kuandikishana kwa mjumbe, tunaenda kwa balozi , kwa Mwenyekiti nk.
Sembuse mtu nisiyemjua?
Hata Mimi kazi ninayoifanya yeye ndiyo alinipa mbinu zote za kupata na kunisaidia namna ya kupita interview.
Kwanza ni le akili kubwazi...
Hahaha tukishindwana utakuja kunifungulia siredi?Hata mimi nakutaka ujue...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
mi sio wakulia lia bana...Hahaha tukishindwana utakuja kunifungulia siredi?
Kama utakuja kulia lia huku sitaki ..[emoji19] [emoji19] [emoji19]
Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
Eti chungu kama clorit (kiloriti)mi sio wakulia lia bana...
Hata iwe chungu kama clorit nakula tu...nauchuna...count on me.
Hamna cha kuanza tena ndiyo umeshanipata. Jiliee
Nimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.
Ila najiuliza amekukosea nini kikubwa mpaka umdhalilishe hivyo?
Au umeona wivu baada ya kujua kuwa Rai nae alipiga? Sio fair mkuu, binadamu hatuko static hiyo midharau yako hiyo kwa huyu mrembo haikusaidii kabisa!!
Sidhani kama atakua kama alivyo milele.
rubii don't get ur self back...hakuna binadamu aliyekamilika.
And u can't Go Back and Change a bad beginning... Start where ur to create ur successful ending....
Hii kula demu humu na ku expose madhaifu yake ni kosa kubwa sana.
na ni uboya full.
Duuuh kumbe watu mnajuana sana humu.. Ila mkuu kausha banaNa utaendelea hapo hapo hutofanikiwa asilani abadani labda uache kuchanganya mapenzi na shule.