Raimundo popote pale ulipo

Raimundo popote pale ulipo

Hata Mimi nimekumiss RAIMUNDO popote ulipo.
Yote 9 kumi support zako , michango yako haitokaa ifutike.
Kama una ID nyingine nitext tuu.
Kamwe situokuwa mnafiki , mfuata mkumbo eti kisa wengi wametendwa niungane nao.
Kivyao...kwanza mjini shule.

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
 
Umeona eee
Mi jamaa alikua msaada sana kwangu kuna situation nilikua napitia alinisaidia sana kuniweka sasa
Mtu kama huyo anajitoa kukushaur hata akiomba assist usimpe jaman...mbona wanasaikolojia wengine wanatoa Huduma ya ushauri na hela kabisaaaa.....
 
Hiyo fishing village ndio unaiita shule?
 
Umeona eee
Mi jamaa alikua msaada sana kwangu kuna situation nilikua napitia alinisaidia sana kuniweka sasa
Mtu kama huyo anajitoa kukushaur hata akiomba assist usimpe jaman...mbona wanasaikolojia wengine wanatoa Huduma ya ushauri na hela kabisaaaa.....
Huku watu hatujuani.
Wewe ukiamua kumkopesha mtu hela, hata asipokulipa umetaka mwenyewe.
Hali ilivyo ngumu nikimkopesha Mtu ninayemjua kabisa elfu 10, tunaanza kuandikishana kwa mjumbe, tunaenda kwa balozi , kwa Mwenyekiti nk.
Sembuse mtu nisiyemjua?
Hata Mimi kazi ninayoifanya yeye ndiyo alinipa mbinu zote za kupata na kunisaidia namna ya kupita interview.
Kwanza ni le akili kubwazi...
 
wewe umehitimu kidato cha nne 2013 ukaona advance hupawezi ukaona u shift uende diplo ,diplo napo unapodoa .

Ushauri bora uache shule ukajifunze hata kushona nguo ,sio lazima wote tusome .as long as umefika form 4 na ww ni ke hicho ni kigezo tosha utaweza kuolewa.
Nimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.
Ila najiuliza amekukosea nini kikubwa mpaka umdhalilishe hivyo?

Au umeona wivu baada ya kujua kuwa Rai nae alipiga? Sio fair mkuu, binadamu hatuko static hiyo midharau yako hiyo kwa huyu mrembo haikusaidii kabisa!!
Sidhani kama atakua kama alivyo milele.

rubii don't get ur self back...hakuna binadamu aliyekamilika.
And u can't Go Back and Change a bad beginning... Start where ur to create ur successful ending....

Hii kula demu humu na ku expose madhaifu yake ni kosa kubwa sana.
na ni uboya full.
 
Huku watu hatujuani.
Wewe ukiamua kumkopesha mtu hela, hata asipokulipa umetaka mwenyewe.
Hali ilivyo ngumu nikimkopesha Mtu ninayemjua kabisa elfu 10, tunaanza kuandikishana kwa mjumbe, tunaenda kwa balozi , kwa Mwenyekiti nk.
Sembuse mtu nisiyemjua?
Hata Mimi kazi ninayoifanya yeye ndiyo alinipa mbinu zote za kupata na kunisaidia namna ya kupita interview.
Kwanza ni le akili kubwazi...
Hata mimi nakutaka ujue...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hahaha tukishindwana utakuja kunifungulia siredi?
Kama utakuja kulia lia huku sitaki ..[emoji19] [emoji19] [emoji19]

Sent from my HTC ONE using JamiiForums mobile app
mi sio wakulia lia bana...
Hata iwe chungu kama clorit nakula tu...nauchuna...count on me.
 
Nimekusoma sana mkuu, inawezekana unamfahamu rubii and possibly alishakupa hadi papue ukala.
Ila najiuliza amekukosea nini kikubwa mpaka umdhalilishe hivyo?

Au umeona wivu baada ya kujua kuwa Rai nae alipiga? Sio fair mkuu, binadamu hatuko static hiyo midharau yako hiyo kwa huyu mrembo haikusaidii kabisa!!
Sidhani kama atakua kama alivyo milele.

rubii don't get ur self back...hakuna binadamu aliyekamilika.
And u can't Go Back and Change a bad beginning... Start where ur to create ur successful ending....

Hii kula demu humu na ku expose madhaifu yake ni kosa kubwa sana.
na ni uboya full.

Kwamba mimi nimemaliza form four 2013
nikaenda diploma nikafeli
Baba yangu marehemu
Najiuza
Nina K nyeusi
Raimundo alinito.mba hakunilipa

kuna mwingine alitangaza mimi ndie sababu ya zile assist za Raimundo kwa wanajukwaa ati alikua ananiletea
Ha ha ha a a

Inawezekana aliyempa file langu alikosea CodeNumber
Huyo ni HR 666 na mimi ndio sababu kubwa ya yeye kufungiwa akaunti zake zote hivyo uchungu wake nauelewa
 
Back
Top Bottom