Raimundo popote pale ulipo

Raimundo popote pale ulipo

Bi dentamol

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,130
Jaman Raimundo popote ulipo njoooo
Pamoja na yote bt jamaa yuko vizuri kichwani ana akil sana ,busara na ana akili sana kichwani....mpaka maswaibu yanamkuta alikua ananishauri vuzur sana sasa jamaa umekimbia jumla jmn lileswala limenielemea huku
Najua unapita huku kimya kimya njoo umalizie darasa lako bwana
Yaliyotokea niyakibinadam tu,, mbona yule mama alokamatwa uchawi kaaibika tz nzima lkn anadunda tu
Ww jf tu jmn....mic u rafiki angu njoo
 
kisimi kishakuwasha wew

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Back
Top Bottom