Raimundo popote pale ulipo

Raimundo popote pale ulipo

[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji35][emoji35]
 
promo zingine bana!! mbona haujawapigia wote wa3!!!

Vipi yule mwingine aliye jidai mganga kumbe ni mpigaji aliye tukuka!!!
 
Jaman Raimundo popote ulipo njoooo
Pamoja na yote bt jamaa yuko vizuri kichwani ana akil sana ,busara na ana akili sana kichwani....mpaka maswaibu yanamkuta alikua ananishauri vuzur sana sasa jamaa umekimbia jumla jmn lileswala limenielemea huku
Najua unapita huku kimya kimya njoo umalizie darasa lako bwana
Yaliyotokea niyakibinadam tu,, mbona yule mama alokamatwa uchawi kaaibika tz nzima lkn anadunda tu
Ww jf tu jmn....mic u rafiki angu njoo
Naona unakumbuka assist uliyokua unaipata kutoka kwake, we unadhani mpaka kujiita lady in action ni kazi ndogo? Rai si mtu wamchezo mchezo ati...
 
Nilijua tu razima nikukute ,,umempa uroda jamaa bure kakukimbia gesti ila inaonekana alikucheda haswa mpaka ukagombana na the superlady Cute B.

"kubishana na punguani ni kujishushia thamani...
 
Back
Top Bottom