Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
mnafurahia tu eeh.ubuyuuHumu raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mnafurahia tu eeh.ubuyuuHumu raaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaha.
nawaona nawaona mnakula tu ubuyuu.Chinekeee
Mimi huwa ubuyu ukijeleta nakula tuu mkuumnafurahia tu eeh.ubuyuu
Mambo??Kukujozwa hakujawahi kumuacha mtu salama
Hata mi sipendi story bila pesa jamanishule imemshinda huyo dogo kazi kuuza mwili tu .
Ukitaka kuamini mfate inbox uone,hakajuagi kupiga stori bila kuomba hela.
HahahahaahhaMy dear huyu jamaa ni mbaya kweli,eti anadai kuwa wewe humu JF ni Raimundo wa kike unaemaliziaga mambo yako kule pm![emoji30][emoji30]
Ngoja ukutwe na cute b ,sikusaidiiMwenye busara nani??? Raimundo??? My ass
Kavuliwa nguo gani?it doesn't matter kama ni kweli au uongo, mimi nakushauri unyamaze tu haina sababu kubishana,,,, muungwana akivuliwa nguo huchutama
Aisee aje tu. Hana adabu yule kaka tapeliNgoja ukutwe na cute b ,sikusaidii
Ana vurugu huyo ,,ehehhehe nawe alikutapeliAisee aje tu. Hana adabu yule kaka tapeli
Mshenzi sana yule kaka. We usinifanye niisake banAna vurugu huyo ,,ehehhehe nawe alikutapeli
Haya sawaaMshenzi sana yule kaka. We usinifanye niisake ban
mmmmh kumbe humu kuna watu wanapigwa hatariiiiMshenzi sana yule kaka. We usinifanye niisake ban
Nakuquote sna hujibu jamanAfu nakutafuta
Wapi mama na pm yako umefunga[emoji15]Nakuquote sna hujibu jaman
usiisake ban basi naweweMshenzi sana yule kaka. We usinifanye niisake ban
Kupigwa nini??mmmmh kumbe humu kuna watu wanapigwa hatariiii
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
I know you will miss me Ndio Maana nimemwambia. Basi napiga [emoji55] [emoji55]usiisake ban basi nawewe
Hivi na wewe utakuja nisema humu nikikupa ?Wacha ni-subscribe huu uzi naona umekuwa mtamu km kiporo cha wali maharage.
Leteni news.