kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
dada Cute b, huyu dogo rubii harudi tena humu [emoji3] [emoji3] [emoji3] ameshakukimbia tayari.Mondray . ngoja nianzie nyuma kuja mbele. Ray...
Hili halikwepi.
Halafu uzembe aliofanya kwa kuwa Raimundo alikuwa na mke hivyo walikuwa wanachati pm na email .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kaka, umeshalewa ngalawa umebaki unazozomoka tu.
Kaacha manyoya etiii eeeh.dada Cute b, huyu dogo rubii harudi tena humu [emoji3] [emoji3] [emoji3] ameshakukimbia tayari.
wewe shida yako nini ?mbona unamsakama sana huyu binti?Sawa kaka, umeshalewa ngalawa umebaki unazozomoka tu.
Huoni tuu jina linaanzia na cute....
Umeshataga? Haya tamia.Sawa kaka, umeshalewa ngalawa umebaki unazozomoka tu.
Unaweza kuta ni lifekero la mtu hilo.wewe shida yako nini ?mbona unamsakama sana huyu binti?
Pambana na mimi kwa niaba yake.
Leo naona kuna tangazo jipya la chuo..Huoni tuu jina linaanzia na cute....
Unadhani kua na maneno machafu ndio kupata umaarufu pekee endelea hivyo hivyo kaka.Umeshataga? Haya tamia.
Nakuelewa sana likuku likiwa linatamia lisumbufu sana.
Hunipi tabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani huyo?!Ha ha ha akija akibisha kwamba yeye Hakuwa kimada wa Ray nitaweka.
Ujue sikupenda tufike huku. Ila siku moja kwenye Uzi mmoja alisema Mimi ni wifi yani mke wa Raimundo. Anaita watu eti waje waone . akasahau kwamba mti anaoukata ndiyo alioukalia....
Leo pia sikutaka kuchangia huu Uzi kiviile , amekuja hapa ananisema kimafumbo.
Sasa kama yeye Hakuwa kimada wa Raimundo na kilichofanya wagombane ni alidanganya kwamba ATM card imesahaulika alipie lodge na misosi halafu jamaa hajamrudishia aje hapa abishe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupambanie kipi mkuu?wewe shida yako nini ?mbona unamsakama sana huyu binti?
Pambana na mimi kwa niaba yake.
Unamshambulia sana mdogo wangu ,siwezi kukaa kimya.Tupambanie kipi mkuu?
Busara haina hasara mkuu.
Samahani mkuu rejea reply yangu ya kwanza juu yake.Unamshambulia sana mdogo wangu ,siwezi kukaa kimya.
Wewe kwa ubuyu nimekuvulia kofia hutaki upitwe hata nuktaNani huyo?!
Aliliwa akalipia gharama mwnyw?!...watu wabaya jamani