Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Waswahili washajiongeza kwamba...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaPole tumuombee apone
Hatuelew taarifa zinakinzana.UBISHI GANI TENA
😄😄😄Tp mazembe wameripoti kuwa kafariki, nae Haji Manara katoa taarifa ya kifo chake huku kama kawaida yake akisema marehemu alikua ni rafiki yake wa karibu sana
We utakuwa mtoto kama haujui kalaba.aliwahi kuwa mchezaji wa tp mazembe na niraia wa zambia.Ndio nani afsaaa,maana umetoa taarifaa km wt tunamjua mkuu wangu .
Waliangalia gari ilivyoharibika wakajua amekufa.NA WAO WALIKUA SPID BILA YA KUFUATLIA INFO VIZURI
HATARI SANAWaliangalia gari ilivyoharibika wakajua amekufa.
Kuna vyombo vya habari mbalimbali vimeripoti kuwa Legend wa Team ya TP Mazembe na Team ya Taifa ya Zambia Chipolopolo Rainford Kalaba amepata ajali mbaya ya Gari na amepoteza maisha.
Msemaji wa hospital aliyopelekwa amethibitisha kuwa Rainford kalaba hajafariki Bali Hali yake ni mbaya sana (Mahututi).
Source kutoka kwenye Page ya TP MAZEMBE
==========
PRÉCISION
Nous venons de l'apprendre de l'équipe médicale qui a pris en charge le Maestro Rainford KALABA. Déclaré mort par les urgentistes qui ont reçu l'ancien joueur du TPM victime d'un grave accident de la circulation, les médecins qui l'ont reçu viennent de le placer dans un coma artificiel mais sa situation est critique
LINK
View: https://www.facebook.com/100030190881806/posts/pfbid02EVPhpyEurP2UrGWmuYWNjmmRE9aQ3JnDffk51cZhSfsQfq255wJPtTVQpzmgQZNcl/?app=fbl
---
Zambian football legend Rainford Kalaba is still alive despite several reports saying that the Africa Cup of Nations (AFCON) winner has died.His former club TP Mazembe had rushed to social media to pass a condolence message, a move which they have since apologised for."Go in peace our "Maestro"
.间间 That's for you! Rainford KALABA did not survive a road accident this Saturday 13 April in Zambia between Kafwe and Lusaka. Master...Master... Master..." the initial statement read. The 37-year-old is in critical condition after his car was involved in a serious accident this Saturday and reports suggest that the lady he was with in the car died on the spot."Accuracy.
We just heard from the medical team that took on Maestro Rainford KALABA. Declared dead by the emergency services who received the former TPM player victim of a serious traffic accident, the doctors who received him have just placed him in an artificial coma but his situation is critical, " read Mazembe's apology.
The former Zambian international was part of the 2012 AFCON-winning Zambian team and at club level he won the CAF Champions League, CAF Confederation Cup and the CAF Super Cup with TP Mazembe.Authorities at University Teaching Hospital have also confirmed that the Chipolopolo legend is alive but in critical condition.
Waliangalia gari ilivyoharibika wakajua amekufa.
Inasemekana dereva alikuwa ni shem wake, mke wa mchezaji mwenzie, mchepukoIna maana hiyo gari ilikuwa spidi sana, hadi kupelekea abiria waliokuwa ndani kupata madhara.
Inasemekana dereva alikuwa ni shem wake, mke wa mchezaji mwenzie, mchepuko
Alichangia kwa asilimia nyingi Zambia kuwa mabingwa wa Afcon 2012. Alikuwa key player wa TP mazembe wakinyanyua vikombe kadhaa vya CAF. Labda hauko aware na soka.We utakuwa mtoto kama haujui kalaba.aliwahi kuwa mchezaji wa tp mazembe na niraia wa zambia.