Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HUTAKI KUAMINI MKUU HIYO NI OFFICIAL PAGE YA TP MAZEMBE BAADA YA HIYO ULIOSHEA WEW WAKAPOST TENA ILA MIMI NIMESKIA KUTOKA KWENYE REDIO KUNA CLIP INASAMBAA MSEMAJI WA HOSPITAL AKIZUNGUMZAKalaba amefariki mkuu kutoka vyanzo mbalimbali achana na mambo ya Facebook
NA WAO WALIKUA SPID BILA YA KUFUATLIA INFO VIZURINa wao tp mazembe kwa ukubwa wao wanatoa habari bila kufuatilia, wamezingua.
SahihiKulikua na haja ya new thread?
Ni mjaze iliyopo?
Shubaamit
UBISHI GANI TENAUbishi ni wa nini wakuu.
Pole tumuombee aponeNa tushasema RIP[emoji31]
KWELI MKUUBasi tumuombee apone