Rainford Kalaba hajafariki Kama ilivyoripotiwa Bali yupo Mahututi madaktari wanapambania uhai wake

Rainford Kalaba hajafariki Kama ilivyoripotiwa Bali yupo Mahututi madaktari wanapambania uhai wake

Kalaba amefariki mkuu kutoka vyanzo mbalimbali achana na mambo ya Facebook
HUTAKI KUAMINI MKUU HIYO NI OFFICIAL PAGE YA TP MAZEMBE BAADA YA HIYO ULIOSHEA WEW WAKAPOST TENA ILA MIMI NIMESKIA KUTOKA KWENYE REDIO KUNA CLIP INASAMBAA MSEMAJI WA HOSPITAL AKIZUNGUMZA
 
Kuna Mgongano wa taarifa, Ukurasa wa TP Mazembe wa Facebook umethibitisha Kifo cha Rainford Kalaba huku Hospital aliyopelekwa [UTH] imethibitisha kua Kalaba yupo hai ila yupo kwenye hali mbaya.
20240413_200815.jpg
 
Tp mazembe wameripoti kuwa kafariki, nae Haji Manara katoa taarifa ya kifo chake huku kama kawaida yake akisema marehemu alikua ni rafiki yake wa karibu sana
 
Mungu amjaalie kupona upesi iwezekanavyo.

Huyu mwamba kila nikimwangalia ni kama namwona Edibily Lunyamila enzi zake. Hasa pale Kalaba alipokuwa akicheza pembeni kama winga (japo yeye siyo winga).
 
Back
Top Bottom