Rainford Kalaba hajafariki Kama ilivyoripotiwa Bali yupo Mahututi madaktari wanapambania uhai wake

Ndio maana nilisita kuandika RIP kwenye ule uzi...
 

Aisee! Haya magari tuendeshe tu, lakini spidi sio nzuri. Angalia gari ilivyoharibika hapo, sijui watakuwa kwenye hali gani?


Halafu walipata ajali na gari ya KAMPUNI YA MERU. Hmm.. 🤔

 
We utakuwa mtoto kama haujui kalaba.aliwahi kuwa mchezaji wa tp mazembe na niraia wa zambia.
Alichangia kwa asilimia nyingi Zambia kuwa mabingwa wa Afcon 2012. Alikuwa key player wa TP mazembe wakinyanyua vikombe kadhaa vya CAF. Labda hauko aware na soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…