Rais Abdel Fattah El-Sisi afafanua kwanini hawezi kuruhusu Wapalestina waingie Misri. Asema itakuwa ni ujinga na kuisaidia Israel katika malengo yake

Wakimbizi huwa hawarudigi kwao mpaka sasa hivi hapa Tanzania kuna wakimbizi ambao hawataki kurudi kwenye nchi zao
 
Huyu Israeli karibu kitampata kilichompata Ujerumani, dunia karibu itawachoka na ukatili wao. Hata wale waliokua wakiwatetea kwa mtazamo wa kidini wameanza kuelewa Waisraeli ni wahuni tu hawana dini.
Hujui historia.

Hakuna watu wabaya na wa hovyo kama waarabu.

Mwaka 1948 Taifa la Israel lilipotambuliwa rasmi na Umoja wa mataifa, waarabu walianza kuwapiga wayahudi, wakitamka wazi kuwa Taifa la Israel na Wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani, msimamo ambao umeendelea kushikiliwa na Iran na makundi ya kigaidi anayoyafadhili, kama kundi la Hamas na Hizbollah.

Yaser Arafat alipofanya makubaliano ya Israel, makundi haya ya kogaidi yalimwua, kwa sababu haya makundi ya kigaidi na Iran hawataki kabisa kuwa na suluhu yoyote na Wayahudi.

Hata Abbas alipoanza kuonesha ukaribu na Israel, Hamas walianzisha vita vya wapalestina (wenyewe kwa wenyewe), na wakafanikiwa kuiondoa Gaza kutoka kwenye utawala wa serikali ya Abbas.

Maadam Iran inayolea makundi ya kigaidi ipo, hakuna makubaliano yoyote yatakayoleta amani kwa wapalestina na Wayahudi.
 
Maadam Iran inayolea makundi ya kigaidi ipo, hakuna makubaliano yoyote yatakayoleta amani kwa wapalestina na Wayahudi.
Maadam Us anaendelea kusapoti magaidi ya Kizayuni hakuna makubaliano yoyote yatakayoleta amani kwa wapalestina na Wayahudi.
 
Wewe ulitaka israeli washangilie baada ya kushambuliwa..? Acha gaza ipasuliwe na unafiki ndio umewajaa nyie watu wakiislam. Uzuri ni kuwa hizo ni kelele za chura hazimtishi muisraeli.
 
Wakina mama, wazee na watoto anataka wabaki Gaza wafanye nini?
Wapiganaji si wapo?
 
Al Sisi anaona mbali, kwanza akiwaruhusu waingie misri wataendeleza ugaidi wao wakitokea misri na kupelekea misri ipokee kipigo kisa kuwafuatilia magaidi wa kipalestina na kupelekea kuvunjika mkataba wa amani wa camp david kati ya misri na israel. Kama vipi jordan iwapokee, naona waziri wake wa mambo ya nje povu jingi linamtoka kuhusu kichapo wanachopata magaidi wa hamas. Au waende iran kwa baba lao la ugaidi duniani
 
hivi mbona hatuoni msimamo wa urusi na mataifa mengine makubwa kama china yameegemea upande upi kwenye huu mzozo
Wapo kimya sana kwenye hili swala
 
Mbona wacongo wanakufa kila siku sijawahi kukusikia ukipiga kelele au kwa sababu weusi kama wewe [emoji1787]
 
Jamaa ni mzalendo wa kweli
 
Wa Arab wa Misri, wanaumia Wayahudi wanavyoua Wa Arab wenzao wa Palestine, lakini, hawapo tayari kuwaona Wapalestina wakiwa wakimbizi kwenye nchi yao.
 
Ndio uzuri wa kuwa na rais Jasusi mbobezi.
 

Ni chuki dhidi ya wayahudi. Anti semitic.
 
Wa Arab wa Misri, wanaumia Wayahudi wanavyoua Wa Arab wenzao wa Palestine, lakini, hawapo tayari kuwaona Wapalestina wakiwa wakimbizi kwenye nchi yao.
Hiyo ni sahihi kabisa.Kosa lao kwanini hawawapelekei misaada ya chakula na maji kwa lazima.Hakuna sababu ya kuomba ruhusa kumuokoa mtu.
Ukiona mtu ametumbukia kwenye maji basi kama unajua kuogelea hata akiwa mke wa mtu nenda kamshike unapoweza umtoe nje.
 
Hapo ndipo huwa sipaelewi kabisaa na wale mateka watu hawawazungumzii kabisa aiseee, na kuna mamia ya wa Israel walikufa lakini kimya wana walilia Palestine tu duh!
Waisrahell warejeshwe kwenye ardhi zao za kabla ya mwaka 48 uone kama kuna mtu atawaua ila kwa hapo wanapopakalia kimabavu dawa yao inayowastahili nakuwa pendeza nikifo tuuu
 
Tusipangiane cha kujadili mkuu, hili ni jukwaa huru.

huko kwingine jikite wewe ukitaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…