Myopic, wewe huwezi kuona consequences yeyote kwa yaliyotokea Ila nafikiri kwa sasa aliko mama yako ana cha kujifunza.Eti tujifunze kwa yanayotokea kwa sasa..we ni nyumbu tu
Kwa hyo ili mmuone ni kuwa ni bora anatakiwa awe mpole aruhusu kila ujinga?
Na mkileta nyoko nyoko tena mnanyooshwa!
Tatizo la kuwa na kiongozi asiye na vision binafsi anayetegemea wanamtandao wampangie cha kufanya.Pole pole alifafanua vizuri sana kuhusu kundi la wanamtandao na wahuni. Hizi sasa ndio athari zake.. Na hili kundi bado lina nguvu Sana
Katiba inasema Rais akitoka bara basi makamu wake lazima atoke visiwani hata kama upande huo hatuoni mtu mwenye sifa. Hii sio sahihi.
Kuna tendency au tabia ambayo haijandikwa popote kuwa kama Rais anayemaliza muda wake ni mkristo basi atakayefuata lazima awe mwislamu lengo kubalance dini hata kama hakuna mwislamu anayefaa, tabia hii haifai na imepitwa na wakati.
Kuna ubaya gani tukiwa na rais mkristo na makamu wake mkristo kama wana sifa au rais mwislamu na makamu mwislamu.
Jambo jingine la kuangalia ni nafasi ya makamu, kanuni zinasema mgombea Urais atapendekeza mgombea mwenza, nafikiri hili nalo si sahihi, chama husika kishiriki kumpata mgombea mwenza ili kuepuka kupata weak candidate ambaye kikatiba ni president in waiting.
Tujifunze kwa makosa tunayopitia kwa sasa, ni imbalancement kwa nchi.
Ikitokea hivyo kelele yake itakuwa si ya karne hii kila siku matamko kila mtu atakuwa shehe.Rais na Makamu kuwa wa dini moja imeshatokea huko nyuma na hakukuwa na tatizo. Wakati wa JK Makamu wake walikuwa ni Ali Shein na Mohamed Bilal.
Ila siku ikitokea Rais na Makamu wakristo ..... wote tunajua kelele zake zitakuwaje.
Tunahitaji kufanya maamuzi magumu Sana kuweza kurudisha Tanganyika kwenye mstariTatizo la kuwa na kiongozi asiye na vision binafsi anayetegemea wanamtandao wampangie cha kufanya.