Rais ajaye akitokea Bara

Rais ajaye akitokea Bara

Bila ya kusitasita ,Nyerere alikuwa Mkristo alifanikiwa kuiweka nchi kwenye mstari heshima kwa watu wa dini zote zilikuwepo japo kulikuwa na manunguniko ya hapa na pale.

Akaingia Mwinyi ,yeye ni Muislamu halikadhalika Nchi ilikuwa imetulia hakuna mvutano ,na wengi waliweza kuona uongozaji wake ulikuwa ule wa fanya na nenda uwezako lakini usivunje sheria ,ilitokea watu wakamsifu kuwa mifuko ya wananchi ilikuwa inajaa vijisenti ,japo senenesenene hazikukosa.

Akaingia Mkapa yeye ni Mkristo .uongozaji wake ulikumbwa na ubabe na walevi wengi walikuwa wakipatiliza na ndipo matabaka yalipoanza kujitokeza na nchi kuuzwa kwa bei poa na kusababisha hata uhuru wa dini kuvurugika na kila mmoja kuona anagandamizwa.

Hapa tulipo tunae Kikwete yeye ni Muislamu ,uongozi wake unaonekana kuwa dhaifu na unaolegalega ,baada ya nchi kuchafuliwa na Mkapa ,Kikwete anaonekana kushindwa kuiridisha kwenye mstari ,malalamiko yameongezeka kila sehemu mauaji ya ovyoovyo yamezagaa .

Nakusifu sana wewe Mwiba kwa uchambuzi wako.

Mbona wadau wengine mnakuwa waoga? Kutoongelea jambo kutalifanya lijisolve?

Kwanini mnashindwa kujibu hoja ya msingi ya mtoa mada, mnaanza kumlaumu unnecessarily? Elezeni mnachoficha na si kukimbia NA KULAUMU..

Kwani hamuwajui wapenda kucheza Ngoma wanatoka maeneo gani, na kwani hamtazami runinga mkamwona ZUMA na ngoma? Mnataka kusema hamjui kuwa MWIBA NI mtu wa wapi , wakati anaongelea SENENE? Nani hajui kwamba tabia za watu zinaathiriwa au kuwa framed na mazingira? Ni nani aliyelikana ziwa la mamaye? Na tangu lini mwenda kwao akawa mtoro? Au nianze tena somo la Saikolojia?

Management ni fani inayojitegemea, na ni matter ya personality, lakini tusisahau kwamba kuna styles za management ambapo ndipo hapo watu huingizia u`majimbo wao. Si dhambi kuongelea jambo hilo wadau, mnakumbuka kuwa hata kwenye kampeni za ubunge kulikuwa na tabia wa kuongea kilugha, hadi tume ya uchaguzi ilipostukia?

Mimi ninasema kwamba kuna direct relationship kati ya mtu na kule atokako. These two have always been a clone of one-another.
 
Kweli JF inazidi kudidimia kutokana na mawazo uvundo kama haya lakini kama ilivyo ada, nitaheshimu mchango wako hata kama ni pumba tupu. Ulichoandika hapa inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikiri na umeonyesha ugoigoi wa hali ya juu katika kuchanganua mambo, wakati mwingine, mawazo goigoi mgando ndio hazina pekee iliyobaki vichwani mwa baadhi ya watu na nina uhakika wewe ni mmoja wao.

G nakubaliana nawe 100% hayo ni mawazo mvundo na yanashusha hadhi ya JF. Niliwahi kutahadharisha hilo zaidi ya mara mbili, na siku yangu ya kwanza nilipojiunga nilitahadharisha hilo.

Mfano siku moja tukiwa na jamaa yangu nchi flani (Kapuni), nilikuwa naisifia JF kwa uchambuzi makini na jinsi inavyomwaga vithibitisho. Alivutika kuitembelea bahati mbaya akakutana na hoja iliyolive amboyo ilikuwa si ya KIUCHAMBUZI ilijaa uvundo akaanza kunishangaa na kuniambia pamoja na kusoma kwangu nashindwa kufanyanya critical analysis. Ukweli nilijisikia aibu sana. Hiyo ndiyo ilinifanya kwenye salamu yangu ya kwanza (utambulisho) nitahadharishe.
 
Kumekuwa na kauli kuwa watu wa pwani ya bahari ya Hindi hapa Tanzania ni wavivu na blah blah nyingi. They are generalist and simplistic. Huridhika kwa vitu vidogovidogo tu. Kwa mfano wengi wao wako nyuma kimaendeleo na tumeona marais wote waliotoka pwani hiyo; Mwinyi, Mkapa na Kikwete performance yao kiuongozi mgogoro mtupu! Wakati mbara tena wa Musoma Nyerere alifanya mambo makubwa

Hiyo ni dhana potovu, nionavyo mimi urais ni taasisi. Rais ni kiongozi lakini ana taasisi yake ambayo kimsingi ndiyo inayofanya kazi, Rais peke yake hana maamuzi bila ya kupitia kwa washauri wake kwanza pia usisahau kuwa kuna baraza la mawazili ambalo pia linamshauri rais kwa mambo mbalimbali ya kila siku ya nchi. Mwananchi yoyote mwenye elimu na kipaji cha kuongoza anaweza kuwa rais na kuleta maendeleo makubwa tu bila ya kujali anatoka sehemu gani ya Jamhuri ya Muungano. Kusema kuwa wapwani hawawezi ni ubaguzi mkubwa ambao kwa Tanzania ya sasa hauna nafasi hata kidogo katika jamii inayotaka maendeleo.
 
Nakusifu sana wewe Mwiba kwa uchambuzi wako.

Mbona wadau wengine mnakuwa waoga? Kutoongelea jambo kutalifanya lijisolve?

Kwanini mnashindwa kujibu hoja ya msingi ya mtoa mada, mnaanza kumlaumu unnecessarily? Elezeni mnachoficha na si kukimbia NA KULAUMU..

Kwani hamuwajui wapenda kucheza Ngoma wanatoka maeneo gani, na kwani hamtazami runinga mkamwona ZUMA na ngoma? Mnataka kusema hamjui kuwa MWIBA NI mtu wa wapi , wakati anaongelea SENENE? Nani hajui kwamba tabia za watu zinaathiriwa au kuwa framed na mazingira? Ni nani aliyelikana ziwa la mamaye? Na tangu lini mwenda kwao akawa mtoro? Au nianze tena somo la Saikolojia?

Management ni fani inayojitegemea, na ni matter ya personality, lakini tusisahau kwamba kuna styles za management ambapo ndipo hapo watu huingizia u`majimbo wao. Si dhambi kuongelea jambo hilo wadau, mnakumbuka kuwa hata kwenye kampeni za ubunge kulikuwa na tabia wa kuongea kilugha, hadi tume ya uchaguzi ilipostukia?

Mimi ninasema kwamba kuna direct relationship kati ya mtu na kule atokako. These two have always been a clone of one-another.

Wameshikwa pabaya mbona thread nyingine zenye ubaguzi na ukabila hamzitolei macho KIHIVYO??????
 
huna akili timamu uliyeandika thread hii,
uatugawa watanzania!!??
 
ukweli unabaki palepale.watu wa pwani wavivu.Hawapendi kujichanganya na makabila mengine ili kujifunza wanavyotafuta maisha.Hebu niambie mikoa yote ya TZ watu toka mikoa yote wamechanganyika na wanatafuta maisha kila mmoja kivyake,lakini kwa watu wa pwani wako tu huko pwani hawatoki kwenda kwingine kutafuta maisha na hata huko pwani kwao waliko hawajishughulishi sana na sasa wanahamia pembezoni kabisa kwa kuwa hawana uwezo wa kuishi mitaa ya kati wanawaachia watu baki.Jamani hili si kweli?mambo ya mkeka na bao ndo yao.Jamani mjishughulishe!!!!!!!!!!
 
mwiba wewe ni kilaza wa mawzo,ubaguzi wa hiyo dini yenu ndio unakusumbua.

Kadibiwe miremebe.
inawezekana mwiba ndo mwenye tabia ya ubaguzi (mm sijuwi),sasa suala la kuihusisha dini yake na ubaguzi limekujaje tena?
Kama huna la kuchangia nyamaza usitibue watu.
 
wapwani ni wavivu kweli.Wao na mkeka na bao tuu ndo maana wenyewe sasa wanasukumwa kwenda pembezoni kwa kuwa hawana la kufanya kati mjini na makazi yao wameuza kwa wabara.Hapo kuna uongo?
 
Kweli JF inazidi kudidimia kutokana na mawazo uvundo kama haya lakini kama ilivyo ada, nitaheshimu mchango wako hata kama ni pumba tupu. Ulichoandika hapa inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mvivu wa kufikiri na umeonyesha ugoigoi wa hali ya juu katika kuchanganua mambo, wakati mwingine, mawazo goigoi mgando ndio hazina pekee iliyobaki vichwani mwa baadhi ya watu na nina uhakika wewe ni mmoja wao.

Binadamu tuko tofauti hivyo huyu jamaa ametoa mawazo yake kuliangana na analysis yake aliyofanya kumwambia kuwa ni mawazo goigoi unakosea kwani ulitakiwa kumuelimisha badala ya kumshambulia kwa maneno ambayo hayajengi.

Wewe mawazo yako ni yapi? Ungeyaweka hapa tuone? Huyu jamaa alikuwa anajaribu kuanzisha mjadala kwani mitaani watu ndivyo wanavyoamini usije kudhani elimu yako (kama unayo na imekusaidia) basi na kule mitaani jamaa wako hivyo. Wanakwambia tunataka rais ajaye awe mwislamu kwani kikwete si ilikuwa hivyo huko mitaani?

Tujaribu kusaidiana ili tupate mashiko tuweze kwenda mbale si kukatishana tamaa kama ulivyofanya.
 
huna akili timamu uliyeandika thread hii,
uatugawa watanzania!!??
Kama ukikubali kugawanywa, wewe ndiye ambaye hautakuwa na akili timamu. Kumbuka quotation ya Nyerere: Mtu akikupa wazo la kipumbavu...
 
Wakitokea bara itakuwa hatari sana nakumbuka mbara huyo Nyerere au baba wa taifa kama mnavyopenda kumwita aliwapeleka watu kwenda kuliwa na simba ,si unajua wabara kwa kulima ,kuna hatari tukarudishwa kwenye vijiji vya ujamaa.

Bila ya kusitasita ,Nyerere alikuwa Mkristo alifanikiwa kuiweka nchi kwenye mstari heshima kwa watu wa dini zote zilikuwepo japo kulikuwa na manunguniko ya hapa na pale.

Akaingia Mwinyi ,yeye ni Muislamu halikadhalika Nchi ilikuwa imetulia hakuna mvutano ,na wengi waliweza kuona uongozaji wake ulikuwa ule wa fanya na nenda uwezako lakini usivunje sheria ,ilitokea watu wakamsifu kuwa mifuko ya wananchi ilikuwa inajaa vijisenti ,japo senenesenene hazikukosa.

Akaingia Mkapa yeye ni Mkristo .uongozaji wake ulikumbwa na ubabe na walevi wengi walikuwa wakipatiliza na ndipo matabaka yalipoanza kujitokeza na nchi kuuzwa kwa bei poa na kusababisha hata uhuru wa dini kuvurugika na kila mmoja kuona anagandamizwa.

Hapa tulipo tunae Kikwete yeye ni Muislamu ,uongozi wake unaonekana kuwa dhaifu na unaolegalega ,baada ya nchi kuchafuliwa na Mkapa ,Kikwete anaonekana kushindwa kuiridisha kwenye mstari ,malalamiko yameongezeka kila sehemu mauaji ya ovyoovyo yamezagaa ,kusema kweli anatia aibu Uislamu na kuonekana kuna udhaifu katika taaluma ya uongozi ,jambo ambalo sio kweli ni tabia na hulka zake mwenyewewe na zaidi kuonekana kutojiamini au kutojali dhamana ya uongozi aliyopewa na kuiona kama anawakilisha Uislamu hivyo kujitahidi kujenga sura nzuri ,lakini sivyo inaonekana anajenga sura ya ugoi goi ,kama anngechanganya tabia ya Nyerere na Mwinyi angeweza kabisa kuivukisha Tanzania lakini anaonekana amekwama kwenye matope aliyoyawacha Mkapa na hawezi kujikwamua naona kuna haja ya Raisi kutoka Pemba lakini sio Shein.

Mwiba wacha uongo.
Hakuna Mtanzania aliyewahi kuliwa na simba. Unadhani ukirudia uwongo mara kadhaa ndio utageuka kuwa ukweli? Acha uwongo ndugu yangu.
 
Nakusifu sana wewe Mwiba kwa uchambuzi wako.

Mbona wadau wengine mnakuwa waoga? Kutoongelea jambo kutalifanya lijisolve?

Kwanini mnashindwa kujibu hoja ya msingi ya mtoa mada, mnaanza kumlaumu unnecessarily? Elezeni mnachoficha na si kukimbia NA KULAUMU..

Kwani hamuwajui wapenda kucheza Ngoma wanatoka maeneo gani, na kwani hamtazami runinga mkamwona ZUMA na ngoma? Mnataka kusema hamjui kuwa MWIBA NI mtu wa wapi , wakati anaongelea SENENE? Nani hajui kwamba tabia za watu zinaathiriwa au kuwa framed na mazingira? Ni nani aliyelikana ziwa la mamaye? Na tangu lini mwenda kwao akawa mtoro? Au nianze tena somo la Saikolojia?

Management ni fani inayojitegemea, na ni matter ya personality, lakini tusisahau kwamba kuna styles za management ambapo ndipo hapo watu huingizia u`majimbo wao. Si dhambi kuongelea jambo hilo wadau, mnakumbuka kuwa hata kwenye kampeni za ubunge kulikuwa na tabia wa kuongea kilugha, hadi tume ya uchaguzi ilipostukia?

Mimi ninasema kwamba kuna direct relationship kati ya mtu na kule atokako. These two have always been a clone of one-another.
You 're right culture has got influence in leadership!
 
cha ajabu katika hizi kesi za MAFISADI sijaona hata mtu au mwanasiasa mmoja wa Pwani aliyekamatwa au kufikishwa mahakamani

says alot about the so called waliosoma na wenye kujua kilakitu mnaowapigia debe from bara
 
May be UVIVU wao ndio umewaepusha .....JOKE......
 
We can as well buy a president from... eeer lets say, Europe... kama tunadhani hakuna Mbara au Mpwani anayefaa kuwa rais.

ahahahaha..hapo mkuu umenena..mbona tumeshaprove kuwa hakuna mtu anayeweza KUONGOZA tanzania...sio wa bara wala wa pwani ..."WATANZANIA NI WAVIVU WA KUFIKIRI NA MNAWIVU WA KIKE"..(aliwahi kusema mh. B.Mkapa kati hotuba zake za kila mwezi)....ndiooo...maana hata rais mstaafu BM aliamua kuajiri wazungu kuongoza tanesco...

lets do the same kwa rais..ANAPEWA OBJECTIVES ZA KUMEET THEN ANAANZA KUONGOZA NJII HII,...NA BUNGE NDIO WANA-MONITOR NA KU-KAGUA UTENDAJI WAKE......napendekeza we get a candidate of HITLER TYPE..nchi itanyooka na reli tutajenga nyingi tuu....
 
Wewe hapo umesema ni hulka na utashi wake mwenyewe nikakuona wa maana mwisho ukaingiza ubara na pemba. Kwanini kila kito kwako wewe lazima Iwe Utanganyika na Uzanzibari? Sasa umehama huku siyo zanzibar tena ni unguja na pemba. Cha muhimu kwako ni kupata kiongozi anaye faa au kiongozi anaye toka sehemu fulani? This is stupidity. Kama unaona kuna kiongozi kutoka Pemba anayefaa uraisi bora utuambie vigezo na sifa zake tumtambue ila siyo kusema simply raisi atoke sehemu fulani. Siyo kwamba nina neno raisi kutoka pemba its all well & good lakini kwa unavyo ongea wewe ni unataka raisi bora atoke Pemba which is UPUMBAVU. If there is a capable leader from Pemba name him, his character & accomplishments.
Nafikiri umeongea YA maana. Tutachelewa sana kupata kiongozi kutoka Pemba kwa tabia yao kama hiyo. Baada ya kujitapa kwa Utanzania unajitapa kwa U-pemba sasa utakuwaje kiongozi wa Tanzania?
 
hii yote inaonyesha jinsi gani watu wa Pwani walivyo wastaarabu na sio wezi kama watu wa bara

sasa hivi tazama wanavyoleta jeuri
 
Binadamu tuko tofauti hivyo huyu jamaa ametoa mawazo yake kuliangana na analysis yake aliyofanya kumwambia kuwa ni mawazo goigoi unakosea kwani ulitakiwa kumuelimisha badala ya kumshambulia kwa maneno ambayo hayajengi.

Wewe mawazo yako ni yapi? Ungeyaweka hapa tuone? Huyu jamaa alikuwa anajaribu kuanzisha mjadala kwani mitaani watu ndivyo wanavyoamini usije kudhani elimu yako (kama unayo na imekusaidia) basi na kule mitaani jamaa wako hivyo. Wanakwambia tunataka rais ajaye awe mwislamu kwani kikwete si ilikuwa hivyo huko mitaani?

Tujaribu kusaidiana ili tupate mashiko tuweze kwenda mbale si kukatishana tamaa kama ulivyofanya.

Kuna baadhi ya maoni kutokana na uvundo na uozo wake wa hoja hayana haja hata kuyajibu, na ndio nilichoona kutoka kwa mwandishi wa hii mada. Je kesho atakuja na listi ya Mafisadi na Mikoa waliyotoka na kuelezea ni jinsi gani sehemu walizotoka zimechangia kwa wao kuwa mafisadi? Sidhani kama kuna uwiano wowote kati ya sehemu mtu aliyotoka na uwezo wake katika uongozi au umahiri wake katika ufisadi na ujambazi. Mwandishi wa hii hoja ni mufilisi kichwani.
 
hii yote inaonyesha jinsi gani watu wa Pwani walivyo wastaarabu na sio wezi kama watu wa bara

sasa hivi tazama wanavyoleta jeuri
Game theory, tusiwe wanafiki labda ungesema kuwa tuwe tunavumiliana lakini hakuna suala la kuwa ati wewe ni zaidi ya mwingine. Ni kweli au inawezekana kuwa watu wa pwani ni wavivu, vilevile si kweli watu wote wa bara wawe ni wa-chapakazi, lakini Mila zetu na desturi zetu ndizo zimetufanya tufkie hapa, lazima tuige kile kizuri, kama uchapaji kazi. Kule Big Four siyo kuna rutuba nzuri sana ya kulima au mvua ni nyingi sana, lakini wana ile mila ya kuwa responsible na offspring zao. Vile vile wale wasukuma walimao Pamba Mwanza na Shinyanga wanakuwa na responsibility. Hata wakoloni ilibidi walete "Manamba" Tanga ili ku-suppliment hii cultural gap, yaani kazi!!

Kwa hiyo tusioogope kuongelea ukweli kuwa Culture hata kwa upande wetu ki-nchi ime-influence leardership at the top.

Huoni kama JK ni mtu Mdundiko mdundiko??
 
Back
Top Bottom