Conwel Ngani
Senior Member
- Sep 16, 2018
- 134
- 149
Mwacheni aendelee kuotaAtalazimishwa na nanii?
Atalazimishwa na nanii?
soma aya ya mwishoAtalazimishwa na nanii?
Yes nimelisema aya ya mwishoYaani halazimishwi ila inakua ni makubaliano kabla hajagewa throne.
Au hata yeye mwenyewe atagewa hilo sharti ili vikwazo viondolewe.
Hilo wala halina mjadalaLengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea...
Na vikwazoAtalazimishwa na nanii?
Unajibu kinyonge sanaMwacheni aendelee kuota
Dadavua inavyodhoofika baai mkuuNonsense.alafu vikwazo haidhoofishi Sana urusi inadhoofisha ulaya hata marekani.
Mrusi kutoka kigoma huyoUnajibu kinyonge sana
Hatuna namna tunaishiwa maneno ya kuongea na wajuziUnajibu kinyonge sana
hahaha hatakufa?Samahani kiongozi kwani Putin kasema anatoka madalakani?
Maisha yamekuwa magumu Sana bei za vitu vipo juu sana Kwa Hali ya kutisha watu maeneo mbalimbali ulaya wanaandamana.
Good[emoji106]Mimi nilesema hicho kitu wapenzi wa Putin walinishambulia sana.Kitakochotokea ni kuwa Urusi ili irudi kwenye system ya dunia (SWIFT) na vikwazo vingine vingi walivyowekewa ikiwemo ndege zao kutokutua US ,EU countries na baadhi ya nchi za Asia na Latin America amabako ni Hasara kubwa kwa mrusi kwani uchumi wa urusi umeshuka kwa asilimia 4 na kwa taifa kubwa kama Urusi sio jambo la kitoto.So Fedha zao zilizopo kwenye mabenki washirika wa marekani na ulaya hawatapewa badala yake wataambiwa wakubali hizo fedha ziende Ukraine. Kama unafuatilia waziri wa fedha wa Ukraine kila wiki anatoa figure ya hasara ya vita hii.ni mahususi kuanza kuangalia account nono za Urusi zolizopo nje