Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

Mimi nilesema hicho kitu wapenzi wa Putin walinishambulia sana.Kitakochotokea ni kuwa Urusi ili irudi kwenye system ya dunia (SWIFT) na vikwazo vingine vingi walivyowekewa ikiwemo ndege zao kutokutua US ,EU countries na baadhi ya nchi za Asia na Latin America amabako ni Hasara kubwa kwa mrusi kwani uchumi wa urusi umeshuka kwa asilimia 4 na kwa taifa kubwa kama Urusi sio jambo la kitoto.So Fedha zao zilizopo kwenye mabenki washirika wa marekani na ulaya hawatapewa badala yake wataambiwa wakubali hizo fedha ziende Ukraine. Kama unafuatilia waziri wa fedha wa Ukraine kila wiki anatoa figure ya hasara ya vita hii.ni mahususi kuanza kuangalia account nono za Urusi zolizopo nje
Na huo ndio ukweli mkuu
 
Huyo rais ajaye anaweza kua Medved au dg fulan ambaye alikua karibu na Putin kwenye victory day juzi. Hao wawili ni washenzi kuliko.... bora putin ana huruma anakupiga anatoa na msaada wa chakula... hao ni kama kim wa korea. Hiiiii in magufuli's voice
 
Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea.

Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala yake imewachochoea zaidi kuendelea kuisaida Ukraine.

Hawa jamaa sio wajinga, hii inaitwa calculated risk, wanaona bora waumie sasa ila kwa manufaa ya kudumu ya badae. Na mwisho wa siku hata rais ajaye wa Urusi si ajabu akalazimishwa kulipa hii hasara ya uvamizi ili kuondolewa vikwazo.
Ndugu yangu Urusi sio Zimbabwe!
Urusi pale akitoka Putin anaingia mbishi kama Putin! Usije ukadhani au ukaota kuwa US ataweza kuweka pandikizi pale Russia! Ilo ondoa kichwani mwako.

Mwisho nakuambia US na Russia wanatafutana tangia miaka ya 50 huko, usije ukaona ajabu sana haya yanayoendelea kwasasa! Jua kwamba kabla USSR haijasambaratika, USSR ilikuwa inaishia Ujeruman, na kiongozi wa Ujeruman mashariki alikuwa huyohuyo Putin Vladimir na isitoshe miaka 60 USSR alishawah kupeleka Nuclear karibu na mpaka na Marekan huko Inchini CUBA ila USA alikataa na kutishia kuivamia Cuba sababu tu anamkaribisha adui yake mlangano kwake.

Mara baada ya kuvunjika USSR miaka ya 1990, waliingia makubaliano kati ya Russia na huko Wamagharibi kwamba Russia hatakiwi kujitanua kusogelea magharibi na Nato haipaswi kujinua kusogelea mashariki, iki kitu kuanzia miaka ya 1997 kilianza kupuuzwa ila wastaafu wa kijeshi na kiusalama katika inchi za Magharibi waliyaonya mataifa yao kuwa hiki wanachokifanya iko siku eneo la Ulaya litakuwa si salama tena.

Wako washauri wa Magharibi ambao waliiambia Marekani kuwa ili uiweze Russia lazima kwanza uungane na wenzio then fanya kila linalowezekana eidha ununue viongozi wa inchi zinazoizunguka Russia au lah! Ila halikisha US inaifuata Russia, ila ukiacha ikufuate hutoiweza.
Screenshot_2022-05-12-23-06-52-63.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu Urusi sio Zimbabwe!
Urusi pale akitoka Putin anaingia mbishi kama Putin! Usije ukadhani au ukaota kuwa US ataweza kuweka pandikizi pale Russia! Ilo ondoa kichwani mwako.

Mwisho nakuambia US na Russia wanatafutana tangia miaka ya 50 huko, usije ukaona ajabu sana haya yanayoendelea kwasasa! Jua kwamba kabla USSR haijasambaratika, USSR ilikuwa inaishia Ujeruman, na kiongozi wa Ujeruman mashariki alikuwa huyohuyo Putin Vladimir na isitoshe miaka 60 USSR alishawah kupeleka Nuclear karibu na mpaka na Marekan huko Inchini CUBA ila USA alikataa na kutishia kuivamia Cuba sababu tu anamkaribisha adui yake mlangano kwake.

Mara baada ya kuvunjika USSR miaka ya 1990, waliingia makubaliano kati ya Russia na huko Wamagharibi kwamba Russia hatakiwi kujitanua kusogelea magharibi na Nato haipaswi kujinua kusogelea mashariki, iki kitu kuanzia miaka ya 1997 kilianza kupuuzwa ila wastaafu wa kijeshi na kiusalama katika inchi za Magharibi waliyaonya mataifa yao kuwa hiki wanachokifanya iko siku eneo la Ulaya litakuwa si salama tena.

Wako washauri wa Magharibi ambao waliiambia Marekani kuwa ili uiweze Russia lazima kwanza uungane na wenzio then fanya kila linalowezekana eidha ununue viongozi wa inchi zinazoizunguka Russia au lah! Ila halikisha US inaifuata Russia, ila ukiacha ikufuate hutoiweza.View attachment 2222195

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza isiwe Zimbabwe but there is consequences.Mrusi huwa hatoi msaada popote ila hela zake zote na hoa matajri wa Urusi zilizo taifishwa zitatumika UNHCR kwa ajili ya wakimbizi wa Ukraine,ku bail out wafanya biashara na Ukraine ijijenge upya Yaani atatoa fedha bila shuruti .Hakuna mtu amesema itafikia Zimbabwe
 
Huyo rais ajaye anaweza kua Medved au dg fulan ambaye alikua karibu na Putin kwenye victory day juzi. Hao wawili ni washenzi kuliko.... bora putin ana huruma anakupiga anatoa na msaada wa chakula... hao ni kama kim wa korea. Hiiiii in magufuli's voice
Huyo rais ajaye anaweza kua Medved au dg fulan ambaye alikua karibu na Putin kwenye victory day juzi. Hao wawili ni washenzi kuliko.... bora putin ana huruma anakupiga anatoa na msaada wa chakula... hao ni kama kim wa korea. Hiiiii in magufuli's voice
Ushenzi wao umeupimaje wabongo bwana eti ni washenzi tupe history wamefanya nini!?

Umenikumbusha mechi za Vibanda Umiza akitoka mchezaji na kunyanyua HbLot board kwamba mwingine anaingia utasikia watuu yeeeee, wakati hata anayeingia hawanjui,

Kwanza Kwa taarifa fupi, Putin ndo alionekana kushupaza Shingo ila hao wote akina Shoigu, Medved na Peskov hata Yule dada Kononenko wote walishamwamshauri Putin Kwa namna mbali mbali kuhusu masuala ya vita na madhara yake!

Walikuwa watano mmoja ametorokea uswizi mwezi mmoja uliopita baada ya kuona Mwenza hawasikilizi,

Cha msingi vita iishe mapema , iliendelea Hivi tuna Tatizo kubwa hapo mbeleni hasa sisi waishio hapa!

Kuna ukosefu wa huduma na bidhaa hapa Russia siyo Kama zamani,

Russian alichoweza ni artificial or short time Ruble peg, Yaan ilo kaliweza kidogo kwakuwa wanaotegemea yao hawakuwa na mbadala wa haraka, na si kwamba wamekubali kununua Kwa Ruble ila wanaojua mambo hedging and speculation in arbitration wanaelewa masuala haya , imepanda Kwa maneno tu in book value ila market Valeu jana Dollar moja nimeinunua Kwa Rubble 78 wakati Kwa maandishi utasoma 71

Hivo kuna Tatizo la uchumi, hata waziri wa mambo ya uchumi wa Urusi jana Kakiri kwamba kuna Tatizo la ugumu kwenye uchumi wao ambao halijawai tokea tangu Miaka 30 iliyopita.

These Westerners are doing some unforeseen calculations wait and see

Britanicca
 
Putin alidanganywa vita itachukua wiki moja yaani simu 7 kumbe ni miaka 7. Haamini macho yake. Intelligence mbovu imemuingiza cha kike.
Alidangamgwa na nan? Mmeshuka kumlisha maneno mara atatangaza total war siku ya victoey day, mara atataka amalize operation yake siku kabla Victory Day! Yani west wamekuwa wanafikiria zaidi putin anataka kufanya nn lakini hawajawahi kufaulu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea.

Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala yake imewachochoea zaidi kuendelea kuisaida Ukraine.

Hawa jamaa sio wajinga, hii inaitwa calculated risk, wanaona bora waumie sasa ila kwa manufaa ya kudumu ya badae. Na mwisho wa siku hata rais ajaye wa Urusi si ajabu akalazimishwa kulipa hii hasara ya uvamizi ili kuondolewa vikwazo.
Usiseme si ajabu akalazimishwa kulipa, ndio utaratibu wa dunia. Ukianzisha vita na kisababisha hasara LAZIMA uilipe ile hasara kabla "hujakubaliwa" kurudi kwa wakirungwa. Mfano, Ujerumani alilila gharama za WWI na WWII. Uganda mpaka leo wanalipa gharama za Vita vya Kagera alovyosababisha Idd Amin Dadah.
 
Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea.

Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala yake imewachochoea zaidi kuendelea kuisaida Ukraine.

Hawa jamaa sio wajinga, hii inaitwa calculated risk, wanaona bora waumie sasa ila kwa manufaa ya kudumu ya badae. Na mwisho wa siku hata rais ajaye wa Urusi si ajabu akalazimishwa kulipa hii hasara ya uvamizi ili kuondolewa vikwazo.

Unaota asee!
 
Hivo vikwazo vyao kama havisaidii
IMG_6954.jpg
 
Tukitoka hapo twahamia kwa China, twampa Taiwan silaha na kiburi ili vita ianze.
 
Ndugu yangu Urusi sio Zimbabwe!
Urusi pale akitoka Putin anaingia mbishi kama Putin! Usije ukadhani au ukaota kuwa US ataweza kuweka pandikizi pale Russia! Ilo ondoa kichwani mwako.

Mwisho nakuambia US na Russia wanatafutana tangia miaka ya 50 huko, usije ukaona ajabu sana haya yanayoendelea kwasasa! Jua kwamba kabla USSR haijasambaratika, USSR ilikuwa inaishia Ujeruman, na kiongozi wa Ujeruman mashariki alikuwa huyohuyo Putin Vladimir na isitoshe miaka 60 USSR alishawah kupeleka Nuclear karibu na mpaka na Marekan huko Inchini CUBA ila USA alikataa na kutishia kuivamia Cuba sababu tu anamkaribisha adui yake mlangano kwake.

Mara baada ya kuvunjika USSR miaka ya 1990, waliingia makubaliano kati ya Russia na huko Wamagharibi kwamba Russia hatakiwi kujitanua kusogelea magharibi na Nato haipaswi kujinua kusogelea mashariki, iki kitu kuanzia miaka ya 1997 kilianza kupuuzwa ila wastaafu wa kijeshi na kiusalama katika inchi za Magharibi waliyaonya mataifa yao kuwa hiki wanachokifanya iko siku eneo la Ulaya litakuwa si salama tena.

Wako washauri wa Magharibi ambao waliiambia Marekani kuwa ili uiweze Russia lazima kwanza uungane na wenzio then fanya kila linalowezekana eidha ununue viongozi wa inchi zinazoizunguka Russia au lah! Ila halikisha US inaifuata Russia, ila ukiacha ikufuate hutoiweza.View attachment 2222195

Sent using Jamii Forums mobile app
Waeleze hao
 
Hasara pekee watakayopata Ukraine ni raia wao wanaouliwa na Russia lakini kwa upande wa miundombinu wanayoharibu Russia sio tatizo kwao kwani pesa ya Russia iliyozuiliwa nchi za magharibi ni nyingi mno itagharamia ujenzi wa uharibifu uliofanywa na Russia.
 
Back
Top Bottom