Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

Kenya 2022 General Election
Samahani yeye Ruto ni kabila moja uhuru ama?
 
katika awamu ya pili ya mwai kibaki mbona alishindwa na akatangazwa kuwa mshindi? yote yanawezekana

Haiwezekani ushinde na utangazwe mshindi, labda yapo kwenu huko ambako kiongozi wa upinzani anaswekwa jela hata mwaka, ila Kenya yakifanyika huwa kinanuka na ndio maana ilibidi tufumue katiba kabisa na kuandika upya ili kuhakikisha issues zote zinazingatiwa maana Wakenya huwa tunachukulia serious masuala ya uchaguzi, maana tunakukabidhi maisha yetu na watoto wetu utuongoze, jameni huwa hatuchukulii kizembe, ukizingua kunawaka.
 
Sio kama misukule ya Tanzania inagombania jezi tena kwa pesa zao.
 
kama mnayo katiba nzuri kiasi hicho, kwanini sasa kenya ni miongoni mwa failed states? 1. Rushwa imeshamiri 2. Njaa ndiyo nyumbani kwake 3. Ukame wa mara kwa mara unaosababishwa na ukataji hovyo wa misitu 3. kukosekana kwa umoja wa kitaifa unaosababishwa na ukabila na mgawanyo usiyo sawa wa rasilimali mfano ardhi ambayo ni rasilimali muhimu sana kwa maendeleo inashikiliwa na walio wachache kwa manufaa yao binafsi 4. Amani na utulivu hafifu, watu kutekwa ni jambo la kawaida 5. Kuwa na jeshi dhaifu lisilo na maadili hata raia anaweza kumtisha 6.
 
huna unalolijua kuhusu mpira wa tanzania wewe
Kugombania jezi ni kujua mpira? Yaani hela yangu initese kwa kuning'ia kwenye vyuma? Si bora mngepigania katiba mpya kwa maslahi yenu na vizazi vyenu? Nyie ni manyama tuu.
 
Kugombania jezi ni kujua mpira? Yaani hela yangu initese kwa kuning'ia kwenye vyuma? Si bora mngepigania katiba mpya kwa maslahi yenu na vizazi vyenu? Nyie ni manyama tuu.
vipi, habari za kibera? akili zako ni za kunya na kukojoa kwenye mifuko, poor kenyans, wataalamu wa kuishi kwenye slums duniani kote
 
kims mbona unaandika kama hujaenda shule? sikujui, si ajabu na wewe ni lumpen! samahani.. humu hatujuani lakini one can figure out somebody's status through presentation on JF writings
Ulitaka nikuandikie kwa kirefu na mapana.....Hivi unajua asilimia kubwa ya Watanzania hawana utamaduni wa kusoma machapisho marefu, How should waste my time kuandika analysis ndefu ilhali most of them ni wavivu kusoma??Am not a lumpen, tena nimesoma kuliko hata unavyodhani, think twice before commenting any nonsense broo!!
I can't restore my time by writing a long story because of someone's else...Short and brief but message is well understandable
 
Fact but Raila ndo winner
 
Raila lazima ashinde trust me...
 
Fact
 
Yaani Uhuru jinsi alivyo mtoto wa Mjini amuachie Rutto Urais!!!!haitawezekana kamwe maana anajua lazima atakuja kumshtaki na kumfunga kabisa!!!hivyo iwe jua iwe mvua Raila Amollo Odinga lazima atangazwe Rais iwe jua iwe mvua
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…