Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,771
- 14,129
mrangi unasemaje sasa? Tanzania 2025 Rais Samia anaweza kushindwa kama kutakuwa na upinzani thabiti, achana na huyu gaidi Mbowe. Nasema hivyo kwa sababu TISS/polisi na vyombo vingine vya ulinzi na watendaji wa serikali hawatakubali kuibeba CCM kamwe tena hawatathubutu na sababu ni Sabaya. Sabaya na baadhi ya watendaji mfano wakuu wa mikoa, wakurugenzi (mfano yule Mama wa Manispaa Morogoro), wakuu wa wilaya, ma DAS, RAS, etc wengi wao baada ya kufa Dkt Magufuli ambaye aliwatumia kuiba kura wengi wao wamenyanyasika na utawala wa awamu ya 6. Hivyo hilo limekuwa funzo kwa wote, kwamba hata kama utaisaidia CCM kuiba kura, utafungwa kam Sabaya.Ok ngoja tusubiri
Ova