Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

Kenya 2022 General Election
Iq yako ipo chini sana!!!? Yani unaangalia sura kwenye uongozi you a very stupid.
CCM iko na watu wajinga kama huyu
Hivi unaonaje matokeo?? Niliwaambia Ruto Lazima ashinde kwa sababu Ruto na Uhuru ni kitu kimoja, they just wanted to fool Kenyans and Raila. Uhuru will emerge as baba wa taifa Kenya na Ruto ni kama Musa wa Kenya, while Mzee Odinga is no body. Hili game ndivyo linavyochezwa. Na Ruto na Uhuru wapeana mkono na kucheers
 
Wewe unaangalia uchapakazi au sura ya mutu?haya huyo hangaya wenu na uzuri wake ni lipi jema kafanya??
 
Usitumie nguvu nyingi Raila lazima ashinde

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Raila hawezi kushinda, Deep state ya Kenya haiwezi kushiriki kuiba kura. Ingekuwa Tanzania Raila angeshinda maana huku kwetu ndiyo hivyo. Ruto anapendwa mno na lazima ashinde
Ok ngoja tusubiri

Ova
 
Na wale wqliyoenda kwenye show wakaeusha chupa nao Hahaha
Nguvu zile wangehamushia kwenye mambo muhimu ya kijamii tungewaelewa

Ova
Hao ambao wameamishia nguvu kwenye mambo ya kijamii si ndio tunawaona kila siku wakipigana vikumbo kwenda ikulu kunywa maziwa ya moto na kalimati za kizenji hapo magogoni na chamwino?
 
Watanzania wote wa hovyo sana imagine mtu kalipia meza $5000 hapo ukute hata kwao hamna umeme anauza sura mjini. Mtu analipa 100,000 kuwania jezi huku anakaa buguruni anamenywa na mbu.
Wewe ambae sio wa hovyo tuambie umeifanyia nini Nchi hii toka ujitambue!! Mmeshindwa kufanya harakati zenu kwasababu ya uroho wenu,sasa mnataka watu wasifurahie maisha yao kisa harakati!! Nonsense kabisa. Hata uko Kenya kipindi wanauana kabla ya kupata katiba mpya, wapo watu walikuwa wanakula maisha yao bila stress wala shinikizo la mtu.

Hao wanaharakati wenu na wanasiasa,watoto wao wanasoma hapa nchini?uyo Lissu,Mbowe watoto wao wanasoma hapa nchini,sasa tofauti yao na maccm ni nini? Tanzania hakuna wanaharakati ni njaa tu na kujiuza kama malaya wa riverside! Mtu anatafuta umaarufu ili anunuliwe na watawala kwa bei juu! Wengine wamepata tu ubunge kwa nguvu ya Umma kupitia vyama vya upinzani,wanaanza kutambia wananchi, maisha mazuri wanayoishi wakiwaonyesha mahoteli wanayomiliki na kujisifu kwa safari za daraja la kwanza kwenye ndege!

Mimi binafsi yangu siwezi kujishughulisha na siasa za kitanzania zilizojaa ghiriba na tamaa,nafanya shughuli zangu naenjoy maisha yangu,nikijisikia kununua jezi hata millioni kama ninazo nitanunua! Kama kuna starehe ya kuangalia hata milioni kumi nitaenda,siwezi kujitesa kuwaunga mkono wanasiasa malaya wasio na msimamo.
 
Hovyo sana.
 
Sijafuatilia siasa za kenya zaidi ya kuspma tu humu jf ila kwa niliyoyasoma na jinsi huyo Ruto kushinda, inathibitisha ni kwa jinsi gani wakenya wametuzidi parefu sana kwenye hizi ishu za uchaguzi.
 
Ajaye 2027
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…