Kenya 2022 Rais ajaye wa Kenya ni Raila Amolo Odinga

Kenya 2022 General Election
Ok ngoja tusubiri

Ova
mrangi unasemaje sasa? Tanzania 2025 Rais Samia anaweza kushindwa kama kutakuwa na upinzani thabiti, achana na huyu gaidi Mbowe. Nasema hivyo kwa sababu TISS/polisi na vyombo vingine vya ulinzi na watendaji wa serikali hawatakubali kuibeba CCM kamwe tena hawatathubutu na sababu ni Sabaya. Sabaya na baadhi ya watendaji mfano wakuu wa mikoa, wakurugenzi (mfano yule Mama wa Manispaa Morogoro), wakuu wa wilaya, ma DAS, RAS, etc wengi wao baada ya kufa Dkt Magufuli ambaye aliwatumia kuiba kura wengi wao wamenyanyasika na utawala wa awamu ya 6. Hivyo hilo limekuwa funzo kwa wote, kwamba hata kama utaisaidia CCM kuiba kura, utafungwa kam Sabaya.
 
Omela kwishaa,"ochio nade omela",[emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
 
Haya leo sura yako umeiweka wap??????? πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Maswali mengine sio lazima ya jibiwe .
Mtu anafaham kabisa Nchi inakabiliwa na ukame , anakushipalia kwanini mna njaa?

Wakenya kua na njaa siswala la kukejeri nakuona kama niwazembe, hii ni frusa ya kuchangamkia tuongeze uzalishaji tupige pesa kimya kimya.
 

Kwa sera za kilimo za Ruto kama atafanikiwa nakuhakikishia njaa kenya inakwenda kuisha kabisa, na kwa jicho la kibiashara kenya ni mnunuzi mkubwa wa mazao ya Tanzania tena kwa bei nzuri hivo ni vyema watanzania kujikita kwenye kuzalisha ili wauze kenya kama kenya kwenye baadhi ya msimu hutuuzia viazi mviringo na maembe kwa wingi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…