Uchaguzi 2020 Rais ajaye Zanzibar 2020-2025 lazima awe mkali. Je, wanaotajwa tajwa kuna mkali au anaandaliwa Mtanganyika kuvishwa Uzanzibar?

H.mwinyi tumeshamuandaa kuchukua nafasi ya baba yake 2025 !
 
moderators naona hamtaki nijibu komenti za watu hata niki post nyuzi na koments mnazifuta!nauona udikteta humu naona jiwe katuambukiza udikteta uchwara!
 
MAHIGA HAJAJENGA KULE TOSA MAGANGA WALA BROTHER WAKE NI CHOKA MBAYA TENA MSTAAFU WA JW!INAWEZEKANA NI MZENJI KWELI!KULE TOSA MAGANGA AMBAPO NI KWAO HAKUFANANI NAE!!!!
 
Kwani MAGAMBA MATATU anasemaje? Huyo ndio prediction zake huwa na accuracy ya 98%
Ila mwinyi katajwa sana na sasa mbarawa nae naona jina linaanza kuibuka kutoka kusikojukikana.
 
Si alishasemaga yeye ni namba mbili iweje atake kuwa namba tatu
 
Na mwingine ninayemkubali ni Prof Mbarawa...
Makame Mbarawa ndio rais wa Zanzibar ajae..
Naunga mkono hoja.

P
 
Alijaluu kwamuna alaa nisaheee..mwanamke asahau kuongoza znz kwa zama hizi
 
Samia alishasema hawezi kwenda huko kuwa ngazi ya 3 naakati saivi ni ngazi ya 2
 
Mahiga ni ngumu, Mhehe wa Tosamaganga mpaka Zanzibar ni mbali sana. Possible candidates
1. Hussein Mwinyi
2. Mama Samiha
3. Prof. Mbawara
4. Ali Karume
 
Na ingelikuwa viongozi WA Zanzibar si mambumbu basi wangefanya maaamuzi yao wenyewe lakini kwa vile hawawezi kujiongoza mpaka wapate misukumo ya kimifumo kutoka Tanganyika ndio wanabakia hivyohivyo bila ya kujichagulia wenyewe.
Asante kwa kutuchomoza, ila hatuchokozeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…