Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Lakin Mahiga ni mzanzibari
Mahiga hawezi kuwa rais wa Zanzibar. Anaemzungumzia ni mtoto wa Mwinyi. Hussein ndio maana unaona Baba mtu anasifia hata visivyosifika ili Magufuli amsaidie Hussein kugombea. Mwinyi siyo mzanzibari kindakindaki. Ni wazanzibari waliotengenezwa Bara
Binafsi nilijua Mahiga ni MTU wa Iringa ?undefinedmahega mzanzibari tangu lini tena?undefinedundefinedMi nilijua ni mnyakyusa yule..!!undefinedundefinedHata hivyo mahega amezeeka mno,undefinedmi nadhani mzanzibari Charles kimei anafaa sana kuwa Rais wa zanzibar
Ila kwa Zanzibar
Hussein Mwinyi ,Prof Mbalawa na Mama Samia mmoja wapo anafaa kuwa Rais wa Zanzibar