Uchaguzi 2020 Rais ajaye Zanzibar 2020-2025 lazima awe mkali. Je, wanaotajwa tajwa kuna mkali au anaandaliwa Mtanganyika kuvishwa Uzanzibar?

Biblia inasema heri wapole, maana hao..... Lakini wakali hawana nafasi katika mambo ya kiroho.
 
Karata zipo sehemu 2,
1.HUSSEIN A.H.MWINYI
2.PROF.MAKAME MBARAWA
Hapa ndipo atapatikana mrithi wa Shein kwa Zanzibar na Mrithi wa Magufuli(kama hatang'ang'ania kiti) kwa Bara.

60% Mbarawa Zanzibar 2020
40% Hussein Mwinyi Zanzibar 2020

Atakaye atakaye baki basi nikwasababu ya Tanganyika 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…