Coaster2015
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 2,607
- 2,730
Inategemea na rais mwenyewe, wengine mnaona boraNi pigo rais akifa madarakani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea na rais mwenyewe, wengine mnaona boraNi pigo rais akifa madarakani
SitaniiHivi ni kweli
Hii Dunia ya Mungu, ishi na watu vizuri, ukijifanya mzuvendi utashangaa saana siku ukifa wengine wanashangilia, hata mkiwalazimisha wafunge maduka yao, wnakaa ndani wanaagiza nyama choma wanakula, huko dar nasikia imetokea hivo, wamezuia mpaka mama lisheNoma kweli
Kweli mkuuHii Dunia ya Mungu, ishi na watu vizuri, ukijifanya mzuvendi utashangaa saana siku ukifa wengine wanashangilia, hata mkiwalazimisha wafunge maduka yao, wnakaa ndani wanaagiza nyama choma wanakula, huko dar nasikia imetokea hivo, wamezuia mpaka mama lishe
Mh!!! please tufafanulie kidogo kiongoz it seems unmjua vizuri au unamaanisha jamaa alikuwa mkono wa chuma kama mwanakwenda?!!!!He was a one minute man. Akiingiza tu kichwa, kamwaga ubongo
Mh!!! sijaelewa kwakeli!bujibuji@jamiiforums.com kawa Zachary na mimba ya johnthebaptist
Nimejaribu kuchek and nimepata kujua kwamba kifo chake kama rais wa kwanza wa marekani kufia madarakani kulipelekea mabadiliko ya kikatiba kuhusu succession of the presidency position au mabadiliko ya kikatiba kuhusu kukaimu nafasi ya rais pindi anapofikwa na umauti!!!Nimeogopa kureply kwanza nipo nafikiri ana maana gani
Ndo hivyo mkuuNimejaribu kuchek and nimepata kujua kwamba kifo chake kama rais wa kwanza wa marekani kufia madarakani kulipelekea mabadiliko ya kikatiba kuhusu succession of the presidency position au mabadiliko ya kikatiba kuhusu kukaimu nafasi ya rais pindi anapofikwa na umauti!!!
Mungu anakuonaDa Aya nimewaelewe. Ila kifupi mimi nilikuwa nakerwa sana na uongozi wake. Wapambe wa kisukuma walikuwa wengi sana
Ilikuwa ni awamu ya hovyo kabisa
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
SShukurani mkuu
Ww,, is d rText you copy will automaticallyText you copy will automatically show hereText you copy will automatically show here show hereText you copy will automatically show herePin copied text snippets to stop them expiring after 1 hourSlide clips to delete themSlide clips to delete themText you copy will automatically show hereSawa
William Henry Harrison alihudumu kwa muda wa siku 31 pekee, mwaka 1841.
Mfahamu kidogo
William Henry Harrison (9 Februari 1773 – 4 Aprili 1841) alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja tu wa mwaka wa 1841 hadi kifo chake. Alikuwa rais wa kwanza kufariki madarakani.