Rais aliyekaa madarakani muda mchache zaidi

Noma kweli
Hii Dunia ya Mungu, ishi na watu vizuri, ukijifanya mzuvendi utashangaa saana siku ukifa wengine wanashangilia, hata mkiwalazimisha wafunge maduka yao, wnakaa ndani wanaagiza nyama choma wanakula, huko dar nasikia imetokea hivo, wamezuia mpaka mama lishe
 
Kweli mkuu
 
Nimeogopa kureply kwanza nipo nafikiri ana maana gani
Nimejaribu kuchek and nimepata kujua kwamba kifo chake kama rais wa kwanza wa marekani kufia madarakani kulipelekea mabadiliko ya kikatiba kuhusu succession of the presidency position au mabadiliko ya kikatiba kuhusu kukaimu nafasi ya rais pindi anapofikwa na umauti!!!
 
Ndo hivyo mkuu
 
Da Aya nimewaelewe. Ila kifupi mimi nilikuwa nakerwa sana na uongozi wake. Wapambe wa kisukuma walikuwa wengi sana

Ilikuwa ni awamu ya hovyo kabisa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Ww,, is d rText you copy will automaticallyText you copy will automatically show hereText you copy will automatically show here show hereText you copy will automatically show herePin copied text snippets to stop them expiring after 1 hourSlide clips to delete themSlide clips to delete themText you copy will automatically show here
 

Mbona kama post yako hii ilikuwa na Fumbo Kubwa tu ndani yake Ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…